SHOSHOLOZA Member Joined Jun 28, 2012 Posts 39 Reaction score 2 Oct 26, 2012 #1 Jamani wa jf, kampuni ya african barrick wanauza hiza zao 74% kwenye kampuni ya kichina. Kwa anayefahamu nini sisi wafanyakazi tunaweza kudai kama malipo na stahili yetu kwakuwa tume wafanyia kazi miaka ming.
Jamani wa jf, kampuni ya african barrick wanauza hiza zao 74% kwenye kampuni ya kichina. Kwa anayefahamu nini sisi wafanyakazi tunaweza kudai kama malipo na stahili yetu kwakuwa tume wafanyia kazi miaka ming.
G G. Activist JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 482 Reaction score 125 Oct 26, 2012 #2 Ilikuwa wauze lakini wachina hawakufika dau wakaahirisha!! Labda kama hizi habari umezipata sasa!! Ila hili lilikuwepo miezi kama sita iliyopita
Ilikuwa wauze lakini wachina hawakufika dau wakaahirisha!! Labda kama hizi habari umezipata sasa!! Ila hili lilikuwepo miezi kama sita iliyopita