Barrick kuuza 74% ya hisa

Barrick kuuza 74% ya hisa

SHOSHOLOZA

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
39
Reaction score
2
Jamani wa jf, kampuni ya african barrick wanauza hiza zao 74% kwenye kampuni ya kichina. Kwa anayefahamu nini sisi wafanyakazi tunaweza kudai kama malipo na stahili yetu kwakuwa tume wafanyia kazi miaka ming.
 
Ilikuwa wauze lakini wachina hawakufika dau wakaahirisha!! Labda kama hizi habari umezipata sasa!! Ila hili lilikuwepo miezi kama sita iliyopita
 
Back
Top Bottom