BARRICK MTULIPE HATA NUSU YA $300M TAFADHARI TUMETOA MAPOVU MNO NA WENZETU WAMEKUFA NA KUJERUHIWA. ANGALAU HURUMA

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,736
Reaction score
1,446
Msitupe maneno makali hivi angalau kama hamuwezi lipa upfront basi kwa installment, tulikuwa na imani tukiwatingisha mtateteleka na kutuwezesha maana hari mbaya sana kwa sasa.

hii mnatutengenezea pressure kwa kweli, tuna watoto jamani
source Press Release Item

watz jamonii tuachane na makosa ya ma ccm tuwaombe hawa jamaa(tuliosema wezi) waoneshe huruma.

hizo $300 tungejengea reli na kulipia bomba dia yetu.

mungu tujalie nguvu tuwashinde hawa kama tulivyo mshinda IDD AMINI
 
Tatizo kubwa mnoo vita hii imejaa sana na Mihemko... Uwonga kwenda mbele chuki kibao kutaka kujiona fulani wabora zaidi kulikon wengine... Hakuna cha uzalendo hata chembe ni fix tu mtindo mmoja
 
Tatizo kubwa mnoo vita hii imejaa sana na Mihemko... Uwonga kwenda mbele chuki kibao kutaka kujiona fulani wabora zaidi kulikon wengine... Hakuna cha uzalendo hata chembe ni fix tu mtindo mmoja
Tatizo ni kuamini kuwa hii ni vita.
Ukishatangaza kuwa ni vita unakuwa umekubali wenzio pia wakushambulie panapouma zaidi kwa mbinu zinazokubalika kwenye medani za kivita!

Tatizo lipo na litaendelea kuwepo saaana!
 
"Any proposal agreed in principle between Barrick an the Bashite Government will require Acacias approval" huu mkutano ulikuwa ni km shoo Acacia washasema pesa hiyo hawana. Hivi waziri wetu kesha rudi kutoka kwa hawa mabwana Canada!!
 
Mihemko mingi mnoo na kutaka misifa isiyo stahili kabisa yaani mmmhh.. Weupe hatu waweze hata Kidogo... Ni kwenda nao sawa tuu sio kujifanya wewe una akili kubwa kulikoni walio kufundisha kazi au walio kutangulia... Wee una mletea jeuli mtu ambae ana chapisha pesa zako. Ina chekesha sana.....kuwa chini tu malizana nao kiugwana ila sio kwa Mihemko kutaka kuibuka as hero....kulikoni walio mtagulia sio sawa kabisa yaani...hakuna mtu anae furahia kwa taifa lake kuhujumiwa hata Kidogo.. Atumie busara.. You can't never make it alone ktk hii Dunia.. No way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…