technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Hivi unakuwaje na ubia wa usawa wakati unamiliki asilimia 16 na mwenzako 84
Ngoja kwanza, kwahiyo ukigongwa na dampa hamna kesi?
technically,
Hujui kitu kaa kimyaa! Ulisema mkataba hausainiwe! Umesainiwa sasa unakuja na ngonjera zingine!
Hivi unakuwaje na ubia wa usawa wakati unamiliki asilimia 16 na mwenzako 84