Serikali ya Angola imepokea shehena ya ngombe kutoka serikali ya Chad. Angola inaidai Chad kiasi cha USD 82 milioni. Katika makubaliano yao Chad inatakiwa ipeleke Angola ng'ombe 75,000 katika kipindi cha miaka 10. Ng'ombe hao wanatarajiwa kupelekwa sehemu ambazo zimeadhiriwa na ukame nchini Angola