Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Ndugu zangu kuna kijana wa BONGO FLEVA ameimba wimbo wake wa KIMAPINDUZI sana. Moja ya msitari wke unasungumzia Marekani kubadirisha na Tanzania YANDARUA KWA URANIUM. Bahati nzuri wimbo huu hata jana ulipigwa 88.5 hivyo ulikuja wakati Muafaka.
Ni muendelezo uleule wa kutumia ""
Ni muendelezo uleule wa kutumia ""