Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Audhubillah min al shaitan nirajeem mkoloni na muuza watumwa Jamshid bin Abdulla.
Nimesikia tetesi kuwa kuna watu wasioitakia mema nchi yetu wamekuruhusu urudi Zenj.
Je unakuja kufanya nini? Huoni kuwa huku ni kututia vidole machoni?
Umesahau kuwa tunajua uliuza mababu zetu utumwani mbali na kunyakua ardhi na mali zetu?
Je ungekuwa mswahili aliyefanya uliyofanya kwa waarabu wenzako, angeruhusiwa kurudi?
Na kama angeruhusiwa, mnyongaji angemfanya nini?
Je una mpango wa kukanya bara?
Je utaenda kuweka shada la maua kwenye kaburi la mzee Karume?
Je utwakenda Butiama kuweka shada la maua kwenye kaburi la nguli Nyerere?
Je umetumia mbinu au ushawishi gani kujiamini na kutaka kurejea kutonesha madonda?
Nashauri kama utarudi, basi washauri hao waliokurejesha wailipe familia ya fieldmarshal John Gideon Okello fidia.
Sikukaribishi Tanzania iwe visiwani au bara.
Je maisha yemekupiga huko Uigerezani?
Je unajua kuwa huu unaweza kuwa mtego wa kukutia adabu kwa vile uliowafanyia dhulma, ubaya, ubaguzi, unyama na uhayawani wanakumbuka kila kitu au unadhani wamesahau?
MWISHO
Nakushauri usirudi Zenj, kwani huna cha mno cha kuifanyia.
Waktabahu