Barua fupi kwa sultan Jamshid

Barua fupi kwa sultan Jamshid

Acha aje aridhie na aiombee Dua Zenj irudi katika hadhi na maendeleo yake kama ilivyokua katika utawala wake.
Zanzibar ilikua nchi pekee ya Afrika iliokua na vyama vingi vya siasa, baada ya mapinduzi uhuru wa kisiasa ukakoma,
Zanzibar ilikua mbali katika huduma za jamii, afya , elimu. Vyakula vilikua vimejaa, mkulima alikua na haki kamili ya shamba na mazao yake.

Kuhusu utumwa muulize shujaa wetu Mirambo alivyo kua anawakamata watu kuwauza na wengine analangua na kuwasafirisha. Yeye na watemi wengine walikua ni wauzaji na wasafirishaji wa jumla wa watumwa. Hakuna mwarabu alie ingia kijijini kukamata mtumwa hata mmoja. Waafrika ndio waliuza waafrika wenzao.

Mzee Jamshid karibu nyumbani, tusaidie kuleta wawekezaji kutoka Arabuni.
Mkaribishwe bwana yenu aliyewauza na kuwamilki hadi mkatoka ufahamu na kuendelea kumuabudia.
 
Audhubillah min al shaitan nirajeem mkoloni na muuza watumwa Jamshid bin Abdulla.

Nimesikia tetesi kuwa kuna watu wasioitakia mema nchi yetu wamekuruhusu urudi Zenj.

Je unakuja kufanya nini? Huoni kuwa huku ni kututia vidole machoni?

Umesahau kuwa tunajua uliuza mababu zetu utumwani mbali na kunyakua ardhi na mali zetu?

Je ungekuwa mswahili aliyefanya uliyofanya kwa waarabu wenzako, angeruhusiwa kurudi?

Na kama angeruhusiwa, mnyongaji angemfanya nini?

Je una mpango wa kukanya bara?

Je utaenda kuweka shada la maua kwenye kaburi la mzee Karume?

Je utwakenda Butiama kuweka shada la maua kwenye kaburi la nguli Nyerere?

Je umetumia mbinu au ushawishi gani kujiamini na kutaka kurejea kutonesha madonda?

Nashauri kama utarudi, basi washauri hao waliokurejesha wailipe familia ya fieldmarshal John Gideon Okello fidia.

Sikukaribishi Tanzania iwe visiwani au bara.

Je maisha yemekupiga huko Uigerezani?

Je unajua kuwa huu unaweza kuwa mtego wa kukutia adabu kwa vile uliowafanyia dhulma, ubaya, ubaguzi, unyama na uhayawani wanakumbuka kila kitu au unadhani wamesahau?

MWISHO
Nakushauri usirudi Zenj, kwani huna cha mno cha kuifanyia.
Waktabahu
Tulia wewe kafiri wa kinasara ....KWANI UJUI KUWA TUTAPEWA MAJI YA ZAMZAM ....MAJI YA ZAMZAM NDIYO KILA KITU
 
Tulia wewe kafiri wa kinasara ....KWANI UJUI KUWA TUTAPEWA MAJI YA ZAMZAM ....MAJI YA ZAMZAM NDIYO KILA KITU
Asante kafiri wa kiarabu. Sikujua kuwa kumbe utumwa haujawatoka. Mngejua huko arabuni maji yao wanachuja ya bahari ya vyooni ili kupata maji ya kutumia wakati sisi huku tuna maji aliyotupa Subhanna mwenyewe? Shame on you.
 
🙄🙄 Hamaaaaaaaa!! Kwa hiyo maji ya zamzam ni useng3 tu kama maji ya mwamposa🥲🥲...sasa itakuwaje na tumesha mpatia miarabu mbuga zote milele daima kwa yeye kutupa maji💧💧💧 matukufu ya zamzam 🥲🥲🥲🥲 ...kweli sisi waisiharamu ni wapumbavu kabisa ...misikiti aijatusaidia chochote zaidi ya kwenda kujambiana tu..🙄🙄🙄🙄 kweli sisi ni upinde 🌈🌈🌈 kabisa.... Nilisikia maji ya zamzam yatatufanya tuingie peponi tena tukiwa tumegeuka na kupewa sura ya osama bin laden kumbe ni hadithi tu za mudi boy FaizaFoxy adriz
 
🙄🙄 Hamaaaaaaaa!! Kwa hiyo maji ya zamzam ni useng3 tu ...sasa itakuwaje na tumesha mpatia miarabu mbuga zote milele faida kwa yeye kutupa maji💧💧💧 matukufu ya zamzam 🥲🥲🥲🥲 ...kweli sisi waisiharamu ni wapumbavu kabisa ...misikiti aijatusaidia chochote zaidi ya kwenda kujambiana tu..🙄🙄🙄🙄 kweli sisi ni upinde 🌈🌈🌈 kabisa.... Nilisikia maji ya zamzam yatatufanya tuingie peponi tena tukiwa tumegeuka na kupewa sura ya osama bin laden kumbe ni hadithi tu za mudi boy FaizaFoxy adriz
Nimependa ugwiji wako wa kisanii. Kongole mwanangu.
 
Mkuu jifunze kuheshimu dini za wenzio hata kama unaona yako inakupendeza basi heshimu tu hata kama haikupendezi.

Mfano wewe mweusi ukikutana na mweupe mbaguzi na kukutemea mate kisa ngozi yako unahisi kafanya sawa?.
Kwanza, hakuna mtu mweupe bali pink. Pili, awe mzungu au mwarabu, sivumilii ubaguzi hata kidogo.Ndiyo maana napinga kurejea kwa huyu habithi wa kiarabu aliyewauza watu wetu. Huyu alipaswa kuvuliwa nguo na kuchapwa viboka na baadaye kunyongwa tena hadharani.
 
Acha aje aridhie na aiombee Dua Zenj irudi katika hadhi na maendeleo yake kama ilivyokua katika utawala wake.
Zanzibar ilikua nchi pekee ya Afrika iliokua na vyama vingi vya siasa, baada ya mapinduzi uhuru wa kisiasa ukakoma,
Zanzibar ilikua mbali katika huduma za jamii, afya , elimu. Vyakula vilikua vimejaa, mkulima alikua na haki kamili ya shamba na mazao yake.

Kuhusu utumwa muulize shujaa wetu Mirambo alivyo kua anawakamata watu kuwauza na wengine analangua na kuwasafirisha. Yeye na watemi wengine walikua ni wauzaji na wasafirishaji wa jumla wa watumwa. Hakuna mwarabu alie ingia kijijini kukamata mtumwa hata mmoja. Waafrika ndio waliuza waafrika wenzao.

Mzee Jamshid karibu nyumbani, tusaidie kuleta wawekezaji kutoka Arabuni.
Hana lolote zaidi la ziada ila kwa watumwa wa kiakili na kiroho kama wewe unayotea Zanzibar ambayo haijawahi kuwapo isipokuwa kwenye kichwa chako kilichojaa ujinga.
 
Jamshid ni Mzanzibari na Zanzibar ni kwao. Pai alikaribishwa kurudi Zanzibar na kuishi kama raia wa kawaida tangu enzi za Salmin Amour
 
Sasa mtu ambae familia yake ya kisultani ya Oman haikumtaka nyumbani nyie majitu meusi mlioteswa kuuzwa na kuuwawa nae saizi mnataka kumkaribisha aje kufanya nini? Labda mseme unamtega akija mummalize.

Ila Miafrika ndio mlivyo.
Tukiwaambia wanatushambulia ati tuna chuki
 
Anakuja kuangalia Mifugo/Watumwa wake na kuongea na Manyampala kujua watumwa wake wameongezeka kwa kiasi gani, na nini atafanya nao, ataamua akirudi Awaache huru waamue wataenda wapi au awarudishe aliko watoa huko Tanganyika na kwingineko.
 
Hana lolote zaidi la ziada ila kwa watumwa wa kiakili na kiroho kama wewe unayotea Zanzibar ambayo haijawahi kuwapo isipokuwa kwenye kichwa chako kilichojaa ujinga.
Ongeza akili kwenye Hilo pakacha ulilo beba juu ya mabega.
Hata hujui uko wakati gani. Huyu haji kutawala au kufuatilia chochote Cha siasa. Anarudi kutembea nchi yake kama raia au mtalii. Viongozi wengi walirudi nchini baada ya kupinduliwa au kukimbia kwa sababu za kisiasa kama Kambona n.k
 
Wewe ndo umebeba zigo la mavii kwenye shingo yako. Huyu alipaswa kuwa gerezani hata kunyongwa kwa alivyotutendea ukiachia wale watumwa wake waliokataa kukubali utu na usawa wao na binadamu wengine. Tangu lini mfungwa au muovu akapewa fursa ya kutembelea eti nchi yake. Kwao ni Oman siyo Afrika achia mbali Zanzibar. Kumbaff kafiri nkubwa wewe.
 
Atakuja kwa njia gani? Angani au baharini? Maana nashauri tukamngoje akitua tu tunamgawana Kila mmoja apate japo kipande. Jambazi Ni jambazi tu hata akivaa suti.
 
Halafu hajawaza athari za baadae. Miaka 50 ijayo vitoto na vijukuu vyake nitaanza kushika madaraka serikalini, vitaingia Hadi ikulu kwa kisingizio cha usultani
 
Back
Top Bottom