kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 623
Diamond Platinum mm ni mtanzania mwenzio tuu ila sifuatilii sana mamiziki ila natoa ushauri kuwa Msaidie Baba yako mzazi ingali yupo hai.
Asante.
Nakushauri.....
Asante.
Nakushauri.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wajibu wa mzazi kumlea na kumtunza mwanae but si wajibu wa mtoto kumtunza mzazi!Tatizo huyu mzee nae anaonekana ni msela mno tangu enzi hizoooo till now.Kujibizana na wanae through social media ndo kosa kubwa analofanya.Nimemcheki jana kupitia kipindi cha Shilawadu,nae kuna kitu anakosea sana km mzazi though watoto wake nao it seems wanamdharau baba yao.Nadhani historia ya namna alivyoishi na wanae ndo inamuhukumu kwa sasa.Diamond Platinum mm ni mtanzania mwenzio tuu ila sifuatilii sana mamiziki ila natoa ushauri kuwa Msaidie Baba yako mzazi ingali yupo hai.
Asante.
Nakushauri.....
Yule mzee jana alikula cha Arusha, kama ulimtizama kwa makiniNi wajibu wa mzazi kumlea na kumtunza mwanae but si wajibu wa mtoto kumtunza mzazi!Tatizo huyu mzee nae anaonekana ni msela mno tangu enzi hizoooo till now.Kujibizana na wanae through social media ndo kosa kubwa analofanya.Nimemcheki jana kupitia kipindi cha Shilawadu,nae kuna kitu anakosea sana km mzazi though watoto wake nao it seems wanamdharau baba yao.Nadhani historia ya namna alivyoishi na wanae ndo inamuhukumu kwa sasa.
Mimi nina maswali mawili
1.Hii barua mbona fupi sana hlf haina address ya mwandishi?
2.Ulifanikiwa kupiga bao mbili na zaidi?
Mkuu kama ulikuwepo hadi niliulizwa na MTU nilyekuwa nachek naye kwamba huyo ajalewa kwel? Lakin kikubwa baba ni baba subili uone dunia itakavowafunza wamejisahau na pesa zaoYule mzee jana alikula cha Arusha, kama ulimtizama kwa makini
Gud point afanye ivyo siku zote mtoto uwezu kuingilia ugomvi wa wazazi wako na kuhukumu moja kwa moja kwa mtoto yeyote mwenye busara sizani kama ni sahihi kulipa kisasi kwa mzazi wako hata kama alikoseaDiamond Platinum mm ni mtanzania mwenzio tuu ila sifuatilii sana mamiziki ila natoa ushauri kuwa Msaidie Baba yako mzazi ingali yupo hai.
Asante.
Nakushauri.....
Ni wajibu wa mzazi kumlea na kumtunza mwanae but si wajibu wa mtoto kumtunza mzazi!Tatizo huyu mzee nae anaonekana ni msela mno tangu enzi hizoooo till now.Kujibizana na wanae through social media ndo kosa kubwa analofanya.Nimemcheki jana kupitia kipindi cha Shilawadu,nae kuna kitu anakosea sana km mzazi though watoto wake nao it seems wanamdharau baba yao.Nadhani historia ya namna alivyoishi na wanae ndo inamuhukumu kwa sasa.