Barua fupi ya wazi kwa Diamond Platinum

Mzee haumwi sema hajawahi kupanda ndege, na yeye anataka apelekwe India.
 
Gud point afanye ivyo siku zote mtoto uwezu kuingilia ugomvi wa wazazi wako na kuhukumu moja kwa moja kwa mtoto yeyote mwenye busara sizani kama ni sahihi kulipa kisasi kwa mzazi wako hata kama alikosea


Sio kuingilia ugomvi man, sema kama Sijawahi kukuona kipindi nahitaji father figure, usinitafute leo kuniletea matatizo yako. Rafiki yangu mmoja, yeye alikuwa abandoned na wazazi wote wawili, akalelewa na watu tofauti wakati baba na mama yake wanakula ujana. Sasa hivi kaitoa imekuwa tabu na usumbufu kila siku.
 
Ujumbe mzuri...naona baadh ya mapovu ila unye ukojoe uruke uanguke baba ni baba tu ni damu yako..labda uende kubadilisha damu mwili mzima which is impossible
 
Hiyo familiya inaongoza na mama. Wote akili zao zinafanana. Hebu angalia walichomfanyia zari

Tumetengana na wanaume ila watoto tunawakumbusha kumjulia baba yao hali.

Diamond atalaaniwa hadi kizazi chake cha nne
 
alipo mterekeza uliwahi kumshauli babaake aka msaidiye nasibu na mamaake ?? bullshit fuatilia yako wew familia ile aikuhusu ...
Hamisa kamfikisha mahakamani ili amtunze mwanae yy halioni hilo.
 
Hivi siku yule mtoto wa Hamisa akiwa mkubwa halafu halafu tuseme Mondi kachoka amkumbushe kuwa ww hukunilea mpaka ukapelekwa mahakani na mama atajisikia je?
 
Hiyo familiya inaongoza na mama. Wote akili zao zinafanana. Hebu angalia walichomfanyia zari

Tumetengana na wanaume ila watoto tunawakumbusha kumjulia baba yao hali.

Diamond atalaaniwa hadi kizazi chake cha nne


Labda muwakumbushe na wababa kutoa huduma muhimu.
 
Huyuu ushauri ungempa mama Yake diamond.


Mama huwa wana wabrainwash watoto sana kuwachukia baba zao.

Kama huyoo bibi mpka umri huu hajatulia unafikiri kipindi akiwa binti alikuaje.???
KUNA SABABU KUBWA ZA MZEE KUMTELEKEZA HUYOO MAMA.

TATIZO NI MAMA SIO DIAMOND.
 
Sure. Ila madingi nao waache kutelekeza watoto
nyuma ya pazia kuna mambo mengi sana .kina mama huwa wana dominant watoto kwa kuwalisha maneno makali sana kuhusu baba za watoto......yawezekana ugomvi wa baba na mama ilikuwa mapenzi yao tu, ya kunyimana papuchi au kusalitiana so mwisho wa siku baba anaonekana kuto wajali watoto wake.......binafsi siwezi lishwa maneno yoyote na mama yangu mie nitafanya kwa mama kwa nafasi yangu na kwa baba kwa nafasi yangu
 
Asee yule Mzee nae zero..ila hata kama yupo vile nivizuri wamsitiri.
Kwasababu ndio mzazi, ila huyo mtoto wake wa kike duu. Yaonyesha pasua kichwa haswaaa
 
Nyie ongeeni yote, ila mkae mkijua upendo wa mtoto kwa mzazi hutengenezwa na upendo wa mzazi aliouonyesha kwa mtoto tangu mtoto akiwa mdogo!
Mara nyingi upendo huwa haujileti tu labda kama mnataka mtoto aigize kumpenda mzazi!
Kama familia pamoja na watoto unawajali, mama hata amlisheje mtoto maneno ya chuki dhidi ya baba yake muda utafika tu mtoto atachuja!
Ni rahisi sana kusema kama hujawahi kukulia mazingira ya kutengwa na mzazi tangu ukiwa mdogo.
 
Mlipaji na anaetoa hukumu ni Mungu pekee na si mwanadam.
 
Man, msikimbie majukumu ya kulea watoto wenu baadae mlete story za Mungu.
Mtu kumkimbia mtu kunakua na sababu na evrything happened by reason,mama anaweza akakimbiwa kumbe yy ndo mkosaji ukikua anampaka baba yako matope sio wote wanaokimbia watoto eti wamekimbia majukumu
 
Ata kama mimi ndo Diamondi! Yule dingi ningempotezea.alitakiwa kutunza mtoto.Uwezi taka vuna matunda kwenye shamba ambalo ujaliudumia.iwe funzo kwa mababa wote wanaokimbia majukumu yao
 
Mtu kumkimbia mtu kunakua na sababu na evrything happened by reason,mama anaweza akakimbiwa kumbe yy ndo mkosaji ukikua anampaka baba yako matope sio wote wanaokimbia watoto eti wamekimbia majukumu


Inaelekea wewe unajua hii story vizuri kuliko Diamond .
 
Diamond Platinum mm ni mtanzania mwenzio tuu ila sifuatilii sana mamiziki ila natoa ushauri kuwa Msaidie Baba yako mzazi ingali yupo hai.
Asante.
Nakushauri.....

Very simple solution " Diamond".... GOD says forgive & forget. Msaidie baba yako, tuangalie leo na mbele.. nyuma utakuwa jiwe
 
Mbona mnamuingilia diamond mambo yake binafsi? Hamjui chanzo cha yeye kutopatana na baba yake, hamuwezi kulazimisha, haipo hivyo. Mwacheni tu ipo siku atapatana na baba yake bila kelele zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…