Daniel kulwa Nyawayi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 277
- 187
Kwani Diamond tu ndo wa kwanza kuachwa na baba yake au wewe katika jamii unayoishi ujawahi shuhudia vitu vya aina hii lakini kama mtoto unaejitambua na unabusara uwezi revenge kwa mzazi wako hata siku moja atalipwa huko kwa uchafu wake aliotenda.Inaelekea wewe unajua hii story vizuri kuliko Diamond .
Mbona mnamuingilia diamond mambo yake binafsi? Hamjui chanzo cha yeye kutopatana na baba yake, hamuwezi kulazimisha, haipo hivyo. Mwacheni tu ipo siku atapatana na baba yake bila kelele zenu.
Litakuwa fundisho kivipi mkuu? Huku mtaani watu hawapatani na baba zao na wengine hata mama zao, na huwa kuna sababu haitokei tu mtu akaamua. Why mumpe presha diamond? Haya mambo si ya kulazimisha.ushauri tu sio kwamba analazimishwa... hila ni fundisho kwa wengine pia.
hahaaaa yule Mzee hataki kupitwa na fikira za ujana ..lakini sio yey tu ule ukoo wote ndio ulivyo kama vile watu wa uwanja wa fisiYule mzee jana alikula cha Arusha, kama ulimtizama kwa makini
asante ..huwa nawaambia vijana wengi hiki ulichokisema lakini hawataki wanabisha hatari ..jaami zetu za kiafrica huwa zinaona mtoto nikama rasilimali ..mzazi anazaa akitaka yule aliyemzaa aje kumtunza uzeeni mbaya zaidi huyo wanayetegemea aje kuwatunza wanashindwa kumpatia mazingira bora ambayo yatamuandaa ktk kuweza kuzimudu chnga motoNi wajibu wa mzazi kumlea na kumtunza mwanae but si wajibu wa mtoto kumtunza mzazi!Tatizo huyu mzee nae anaonekana ni msela mno tangu enzi hizoooo till now.Kujibizana na wanae through social media ndo kosa kubwa analofanya.Nimemcheki jana kupitia kipindi cha Shilawadu,nae kuna kitu anakosea sana km mzazi though watoto wake nao it seems wanamdharau baba yao.Nadhani historia ya namna alivyoishi na wanae ndo inamuhukumu kwa sasa.
hahaaaMzee haumwi sema hajawahi kupanda ndege, na yeye anataka apelekwe India.
Kwel ila haibadili anabaki kua baba yako,halaf thamn ya kitu unaweza usiione akiwa hai ila ngoja arud kwa muumba ndo utajuaSure. Ila madingi nao waache kutelekeza watoto
Kwani Diamond tu ndo wa kwanza kuachwa na baba yake au wewe katika jamii unayoishi ujawahi shuhudia vitu vya aina hii lakini kama mtoto unaejitambua na unabusara uwezi revenge kwa mzazi wako hata siku moja atalipwa huko kwa uchafu wake aliotenda.
Sio ivyo ila swala la maadili halinaga kila mtu kua na maisha yake ukose maadili useme ni maisha yako lazima jamii ikukosoe tuMkuu, kila mtu na maisha yake, naona una hasira kuliko babaake Diamond mwenyewe.
Diamond Platinum mm ni mtanzania mwenzio tuu ila sifuatilii sana mamiziki ila natoa ushauri kuwa Msaidie Baba yako mzazi ingali yupo hai.
Asante.
Nakushauri.....
Si angezaliwa na baba mwingine?Kama Baba yake Diamond asingepiga bao kwa mama yake Dai means Diamond asingezaliwa.
Kama baba yake Diamond angechomoa dushe amwage nje Daimond asingezaliwa.
Kama Baba yake Daimond angemlazmisha Mkewe/mchepuko wake uchoropoe mimba Dai asingezaliwa.
Baba ni baba , Daimond usije siku ya msiba wa baba yako unatuvalia ma t-shirt , sjui magari ya kubeba jeneza , kama humsaidii sasa usimsaidie tena
Jiangalie sana na hicho kitengo cha ugawaji laana maana usije ukalaaniwa wewe.Nina uhakika unavijua vitu vichache saaana kuhusu hii familia.Hiyo familiya inaongoza na mama. Wote akili zao zinafanana. Hebu angalia walichomfanyia zari
Tumetengana na wanaume ila watoto tunawakumbusha kumjulia baba yao hali.
Diamond atalaaniwa hadi kizazi chake cha nne
Una uhakika kuwa huyo ndie babake?Kwani Diamond tu ndo wa kwanza kuachwa na baba yake au wewe katika jamii unayoishi ujawahi shuhudia vitu vya aina hii lakini kama mtoto unaejitambua na unabusara uwezi revenge kwa mzazi wako hata siku moja atalipwa huko kwa uchafu wake aliotenda.
Ndiye anayetambulika na Diamond hajawai kukanusha kitu hicho wala mama yake Diamond hajawai kanusha kua huyu si baba yake toka tumemfahamu au wewe unamjua baba yake mwingine?Una uhakika kuwa huyo ndie babake?
Kwani unauhakika dai hayupo jfunadhani anakupata uku mpelekee insta uko