Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
habari wanajamvii na heshima kwenu nyote wanajamii wenzangu msiogope wala msishtuke ni mimi kijana wenu YUSUPH ISSA mwenye mtazamo angavu na makini katika kuyaweka wazi yale yote yanayotuzunguka na katika maisha yetu ya kila siku.yapata saa kumi (10) za usiku nimeamua kuchukua simu yangu na kuandika haya kama kichwa cha habari kisemavyo ni barua ndefu na ya kuhuzunisha iwafikie hao wanaoitwa mastaa hapa bongo,sipati jibu katika swali langu hivi ni UMASKINI,DHIKI,UFAHARI,TABIA,SIFA inayowafanya kugeuka makontena,masandukuya kubeba madawa ya kulevya na kuyaingiza nchini au kusafirisha nchi jirani jawabu ni moja KUTAKA KUISHI MAISHA AMBAYO MUDA WAKE HAUJAFIKA hiki ndio kinawaponza dada zetu na kaka zetu kwa kutaka kuonekana na magari mazuri katika blogs zao uchwara wanazozianzisha ili kupata umaarufu, hawaoni hatari kubebeshwa ngada na akirudi bongo ananunua mkoko na kuweka mapicha huko wanapoita facebook na kuandika maneno ya shombo BADILIKENI JAMANI!!!!!