Barua hii ifike kwenu mastaa wa bongo

Barua hii ifike kwenu mastaa wa bongo

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
habari wanajamvii na heshima kwenu nyote wanajamii wenzangu msiogope wala msishtuke ni mimi kijana wenu YUSUPH ISSA mwenye mtazamo angavu na makini katika kuyaweka wazi yale yote yanayotuzunguka na katika maisha yetu ya kila siku.yapata saa kumi (10) za usiku nimeamua kuchukua simu yangu na kuandika haya kama kichwa cha habari kisemavyo ni barua ndefu na ya kuhuzunisha iwafikie hao wanaoitwa mastaa hapa bongo,sipati jibu katika swali langu hivi ni UMASKINI,DHIKI,UFAHARI,TABIA,SIFA inayowafanya kugeuka makontena,masandukuya kubeba madawa ya kulevya na kuyaingiza nchini au kusafirisha nchi jirani jawabu ni moja KUTAKA KUISHI MAISHA AMBAYO MUDA WAKE HAUJAFIKA hiki ndio kinawaponza dada zetu na kaka zetu kwa kutaka kuonekana na magari mazuri katika blogs zao uchwara wanazozianzisha ili kupata umaarufu, hawaoni hatari kubebeshwa ngada na akirudi bongo ananunua mkoko na kuweka mapicha huko wanapoita facebook na kuandika maneno ya shombo BADILIKENI JAMANI!!!!!
 
Yaani usiku wote usilale usingizi kwa ajili ya barua kama hii?
 
Hii nayo barua au ujumbe mfupi wa maneno? Tujaribu kuzingatia uandishi wa barua, ujumbe makala nk ili tunachokusudia ndio kipokewe na hadhira
 
Toa ajira kwa vijana ndugu barua pekee aitosh,maisha magumu watu hawauz madaw kwa ajili ya kujionyesha au kutaka maisha ya kifahari ila ni ugumu wa maisha tu ndugu yangu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimelazimika kukuandikia ' Barua ndefu kama hii'Wasalaam.... Ramatoulaye... Yaani jilitegemea kukuta barua ya viiiiiiiiiiiiiiiiile!
 
Back
Top Bottom