Barua inayodaiwa kuwa ya Rais wa CAF kwenda kwa Simba ni FEKI ipuuzwe

Barua inayodaiwa kuwa ya Rais wa CAF kwenda kwa Simba ni FEKI ipuuzwe

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Epuka matapeli, barua hii ni feki. Fainali itapigwa Zanzibar
IMG_6792.jpeg
 
Kuna watanzania ni wajinga sana. Kama mkuu wao.

Unafikori unapocheza na namungo na kupewa penalties 5 kila mtu atavumilia ujinga wako????
Dunia ni kijiji
 
Ukiachana na Barua.
Selikali ya Tanganyika imetukatili mno watanganyika.

IMETUUMIZA SANA WATANGANYIKA.

IRP.
JK NYERERE.
MKAPA, SOKOINE, JPM
 
Back
Top Bottom