Bila kulazimisha watu ccm mikutano yao imedoda kama uji wa juzi.Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
Muoga na mnafiki kamwe hawezi kuwa huruNimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
ohh masikini mataga π€£ π€£ π€£Sasa watumishi kwenda kumsikiliza waziri mkuu wewe unahoji nini?!
Wameshikiwa mapanga?Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
Wewe kweli ni mburula!Sasa watumishi kwenda kumsikiliza waziri mkuu wewe unahoji nini?!
Wangeenda kumsikiliza Tundu Lisu hapo tungehoji bwashee..... Waziri mkuu ni boss wao usisahau hilo!ohh masikini mataga π€£ π€£ π€£
Endelea kukariri!Wewe kweli ni mburula!
ohhh masikini mataga π€£ π€£ π€£Wangeenda kumsikiliza Tundu Lisu hapo tungehoji bwashee..... Waziri mkuu ni boss wao usisahau hilo!
Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
Hii Sasa ndio maana halisi ya propaganda. Ila kitu Cha muhimu Cha kujiuliza need je?Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!