Barua kutoka kwa mume wa Florah Mbasha kwenda kwa mchungaji Gwajima

kama ndiyo mimi mbasha tungegawana majengo ya serikali kiroho saf
 
Hii Issue imefNana na ile ya kwenye bibilia ya yule mfalme aliyetaka kupora mke wa askari wake. Akampeleka yule askari front line ya vita ili afe yeye abaki na mke wa askari/mjane kisa tamaa za wake za watu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii Issue imefNana na ile ya kwenye bibilia ya yule mfalme aliyetaka kupora mke wa askari wake. Akampeleka yule askari front line ya vita ili afe yeye abaki na mke wa askari/mjane kisa tamaa za wake za watu


Sent from my iPhone using JamiiForums
mwanaume mwenye akili hawezi kufanya hivyo hapa napata picha kuwa mbasha anataka aonewe huruma baba una kesi ya kubaka maliza hiyo kesi hayo unayoyamwaga ni matatizo ya ndoa utamalizana na mwanandoa mwenzio,kingine mbona unaonekana umedharauliwa mm sijaona flora analalamika namna hiyo yupo kimya hapa nazidi kumpenda maana ana busara
 
flora nakuona una busara sana kukaa kwako kimya ni hekima sana acha zoba lao liendelee kutapatapa,wewe mbasha unakesi ya kubaka,maliza kesi ya kubaka kwanza hayo unayoyaeleza ni matatizo ya ndoa kweli akili huna,hata za kufikiri huna vyombo vya habar havitakusaidia chochote,gwajima na flora wanaongozwa na hekima na ndo maana wapo kimya ,nilikuwa nakuheshim ss heshima yangu imeshuka sana,MWANAUME MWENYE AKILI HANA UPUUZI HUO,utaongea san kwa mtazamo huo ndoa imekushinda sizan kama kunaupendo tena hapo looooo mwanaume ww sijui kabila gani?ni handsome sura kumbe akili huna!!pumbafu zako umenikera kweli
 

Usihukumu mkuu maana nawe utahukumiwa...
 

Mkuu unaongea na nani??
 

Hivi bado kuna watanzania wanaoamini kila kitu wanacholetewa????Kaaazi kweli kweli, sasa hapa tukiulizana nini kinachowafanya watu wasadiki kua iyo ni barau ya Mbasha kweli, naamini watu watakosa majibu pamoja na kukurupukia hii thread,wengine hata kujibizana kwa jazba, Ni nani asiyeweza kuandika barua kama iyo humu?? Hili swala tuwaache wenyewe aisee Waliharibu ndoa yao sasa waitengeneze
 

NYAMAZA WEWE HUJUI HATA UNAONGEA NINI MASIKINI WEEEE! ONA sasa aliykuambia huyo binti aliyetengenezwa ni ziwa moja na flora ni nani hata ile CLIP YA FROLA mwenyewe hujaiona omba upewe!.....keep quet!!!
 

we mgeni nini,FROLA MPAKA KUNA CLIP YAKE alivyolalama mara anatishiwa kuuawa mara sijui hajui shetani gani kamuingia MBASHA.........................! ITAFUTE IYO CLIP itakusaidia kumpenda sana.
 
duh! akikosea mdogo aadhibiwe na kurejeshwa. Akikosea mkubwa, hao walio wadogo wajifunze mapema! Mjini shule.
 


Oya sio lazma u quote thread nzima !
Unatukera tunaotumia simu !

Amani kiroho safi !
 
Hapo sasa wanasema kila shetani na mbuyu wake mbuyu wa Much. Gwajima Uko wapi?
 
BONGOLALA, I have always put it straight, hakuna ulokole duniani! hawa ni wahuni tu wa tumbo. Nawe Mbasha ni lofa, utamuachaje mke wako na mwanamume ?
Alimuachia awaombee watu kanisani,mmmm mambo mengine nayo yani unayajua yote hayo bado huchukui hatua,unakumbuka shuka kumekucha,chamsingi punguza Jazba na usitumie maneno makali nimapema sana,ivi ulijua kama mchungaji anarigia pesa za Sembe tangu lini?
 
NYAMAZA WEWE HUJUI HATA UNAONGEA NINI MASIKINI WEEEE! ONA sasa aliykuambia huyo binti aliyetengenezwa ni ziwa moja na flora ni nani hata ile CLIP YA FROLA mwenyewe hujaiona omba upewe!.....keep quet!!!

Heloo;
Mbona tena ukali ndg??? Awe wa kuchonga au wa kweli, nini tatizo? Paka shume ni paka shume tuuu. Jamaa yako kishanuka shombo hata umwoshe kwa matisho yako haisaidiii. Yu just keep quiet.
 
Kamwambie huyo Mbasha kuwa yeye ni Bushoke tu na mpuuzi. Mwanaume kabisaaaa anakuambia umwachie mke wako eti wanapanga maombi halafu unakubali tu!!!!! Halafu unapata habari kuwa mkeo hakuwa akilala hotelini kwake bali alikuwa akipelekwa kwa mchungaji kutoa huduma halaf eti wewe uko kimya tu unajidai unalinda ndoa!! Akajifunze kwanza kuwa na mipaka na kusema NO kwa mambo ya kipuuzi hata kama anayeyaleta anajiita MCHUNGAJI, PROPHET, NABII, MTUME na majina yanayofanana na hayo.
 
Taratibu Gwajima anafunuliwa. Acha movie iendelee.
Ova
 
Hawa watu hawana washauri?

Stoic vipi bwana??? wewe ni mmoja wa hao washauri. ni nini ushauri wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…