Barua kutoka kwa mume wa Florah Mbasha kwenda kwa mchungaji Gwajima

Wakuu kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza km huyu Mchungaji Gwajima ndiye yule yule anayetumumiwa kumgegeda Mrs wa Mtu mwimbaji wa injiri Frola Mbasha? Msaada.
 
Ni yeye mkuu,na kimimba kampatia na sasa wanalea kichanga,Mkongomani huyu ni hatareee..
 
Wakuu kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza km huyu Mchungaji Gwajima ndiye yule yule anayetumumiwa kumgegeda Mrs wa Mtu mwimbaji wa injiri Frola Mbasha? Msaada.

Angalia mishipa ya umbea ilivyokushupaa hadi wakosea kuandika lugha fasaha...

Siku nyingine kijana unapaswa kutambua hivi kutuhumiwa sio kuhukumiwa...
 
ulitaka nawewe akugegede?:glasses-nerdy:
 
Watu wakikaa kimya si kwamba hawezi kukujibu ila ni hekima tu vinginevyo wangekuja kukutukana humu
 
Hyo ni laaana mkuu huwezi kumsema mchungaji wao hivyo sasa kwa mfano ukishitakiwa mahakamani unaweza kuthibitisha?ngoja wakutafute na kuku trace device uliyo tumia tuone kama utathibitisha
Kuna mambo mengi sana ya kujadili na sio kila siku mch.gwajima lete mustakabali wa nlhali ya nchi na mamna ya kuimarisha amani nchini ww acha hizo mkuu..
 

BONGOLALA Hivi yaliishia wapi kati yako Na Gwajima?Je Mke wako uliweza kurudiana naye?
Muhimu watoto wako je unaonana nao.
Samahani Kwa kuQuote Hii habari ya miaka miwili.
Asante
 
Ukristo umeingiliwa kwelikweli. Mungu atuepushie mbali. Haya yote yalikwisha tabiriwa. Hakuna jipya. Suala ni kupigia mstari kwamba neno hili limetimia kadri ya maandiko. Hakuna dhambi Mpya.
 
Mtumishi wa Mungu, nadhani hajaweza kueleza sakata la mke wa mtu kwa miaka mingi.
 
Kumbe toka 2014 barua??? Ila nimeona neno Sembe nmekumbuka Makonda!!!
 
Acheni komedi [HASHTAG]#atoe[/HASHTAG] vyeti kwanza

Hamtutoi kwenye mada ya Bashite ng'o
 
kumbe kweli gwajima anapush sembee....toka miaka hiyoo tuhuma zipooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…