Barua kutoka London: Marekani si ya kuchezea,Dennis Roadman ni jasusi wa CIA

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,932
Reaction score
4,544
Wakuu,hamuwezi kuamini,nitakavyoanza kuwapa kisa cha kweli kuanzia kesho,kinachomhusu mcheza basketball wa zamani wa USA,najua wengi mtavutiwa na kisa hiki ambacho ni cha kweli na cha kusisimua,ni kwamba Roadman aliandaliwa tangu miaka mingi sana ili aje kuwa special agent wa CIA kwa north korea,mwaka 1989 wakati wa rais George Bush senior,kikao cha siri kiliitishwa ktk ofisi ya rais wa US ikilu ya white house,maarufu kama oval office,mshauri wa masuala ya usalama wa marekani kwa upande wa ulaya wakati huo akiwa Condolezza Rice alikuwepo ikulu,Rice kama wapendavyo kumuita wenyewe Condi,ni mwanamke mweusi,kitaaluma ni Prof wa sheria na siasa,ni mwembamba,mrefu kiasi,na ukimuona huwezi kuamini,anapenda kuvaa viatu virefu vya mchuchumo na kufanya mazoezi kila siku saa 11 alfajiri,ktk kikao kile alikuwepo pia mkurugenzi wa CIA,na maafisa wengine,mkurugenzi wa CIA aliamuriwa na rais atoe majina yote ya mawakala wa CIA wa Asia na Ulaya.

ITAENDELEA KESHO.
 

Andika tarehe ya kikao, lete source yako na ikiwezekana picha.
 
Huyo dennis si shogaa au si yule niga ashawah kuekt na Vandame
 
Hii story source yake ni kijiwe maharufu cha kahawa pale kariakoo stend ya mbagala na tandika.
 
kidume toka uende ulaya basi na we wamekupandisha cheo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…