wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,544
Wakuu,hamuwezi kuamini,nitakavyoanza kuwapa kisa cha kweli kuanzia kesho,kinachomhusu mcheza basketball wa zamani wa USA,najua wengi mtavutiwa na kisa hiki ambacho ni cha kweli na cha kusisimua,ni kwamba Roadman aliandaliwa tangu miaka mingi sana ili aje kuwa special agent wa CIA kwa north korea,mwaka 1989 wakati wa rais George Bush senior,kikao cha siri kiliitishwa ktk ofisi ya rais wa US ikilu ya white house,maarufu kama oval office,mshauri wa masuala ya usalama wa marekani kwa upande wa ulaya wakati huo akiwa Condolezza Rice alikuwepo ikulu,Rice kama wapendavyo kumuita wenyewe Condi,ni mwanamke mweusi,kitaaluma ni Prof wa sheria na siasa,ni mwembamba,mrefu kiasi,na ukimuona huwezi kuamini,anapenda kuvaa viatu virefu vya mchuchumo na kufanya mazoezi kila siku saa 11 alfajiri,ktk kikao kile alikuwepo pia mkurugenzi wa CIA,na maafisa wengine,mkurugenzi wa CIA aliamuriwa na rais atoe majina yote ya mawakala wa CIA wa Asia na Ulaya.
ITAENDELEA KESHO.
ITAENDELEA KESHO.