Barua kutoka London: Nakupenda Odama

Barua kutoka London: Nakupenda Odama

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,932
Reaction score
4,544
How should I start to elaborate my feelings against you,the truth is clear that Nakupenda bado mpenzi wangu,najua mapedejee wa mjini walikudanganya sana hadi ukanisaliti,kwa muda mfupi tu niliokuja hapa UK kwa gia ya student visa,nimefanikiwa kujipenyeza eneo nyeti ambalo nawafundisha waingereza kiswahili,so kwa sasa niko fresh,kama uko tayari wasiliana nami nifanye mchongo uje,nakumbuka wakati uliponisaidia nikiwa ktk wakati mgumu sana,email me Jennifer Mshashu Kyakayoro,so that I snatch you here.
 
Hahaha jamani Odama mrudie mtoto wa mwanamke mwenzio, London chungu bila wewe. Ila odama atakuwa na nyota ya ruba coz imemng'ang'ania kweli KidumeChambegu hahaha
 
Last edited by a moderator:
tafute pesa@kidumechambegu
heshma pesa
odama km huna pesa asa hv ishakula kwako
 
Mkiwa wote hukupata kujua email yake?achilia mbali namba za ja maa zake wa karibu?Au kakutuma upime upepo.Mwambie hatujambo wana Jamii.
 
How should I start to elaborate my feelings against you,the truth is clear that Nakupenda bado mpenzi wangu,najua mapedejee wa mjini walikudanganya sana hadi ukanisaliti,kwa muda mfupi tu niliokuja hapa UK kwa gia ya student visa,nimefanikiwa kujipenyeza eneo nyeti ambalo nawafundisha waingereza kiswahili,so kwa sasa niko fresh,kama uko tayari wasiliana nami nifanye mchongo uje,nakumbuka wakati uliponisaidia nikiwa ktk wakati mgumu sana,email me Jennifer Mshashu Kyakayoro,so that I snatch you here.

Endelea tu na nyeto, coz odama katia nanga kwa drug load matata... Hurumia marinda yako.. Epuka shoka!!
 
Attachments

  • 1409578691006.jpg
    1409578691006.jpg
    52.3 KB · Views: 201
Endelea tu na nyeto, coz odama katia nanga kwa drug load matata... Hurumia marinda yako.. Epuka shoka!!

Aisee kuna watu wana roho ngumu jamani!!!Huyu jamaa alipona kweli???manake hapo naona yuko hospitali
 
Back
Top Bottom