wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,544
Habari za huko nyumbani wakuu?
Nimeshuhudia kioja cha mwaka hapa London jmapili iliyopita,ilikuwa ni majira ya saa 12 jioni,wakati rafiki yangu kutoka nyumbani aliponiomba nimpe kampani kwa demu wake anayeishi east London,jamaa ana demu wa kizungu.
Dakika 40 baadae tukiwa ktk mazungumzo huku tukipata mbili tatu,mara kengele ya mlango iliita,binti kakimbilia mlangoni kufungua huku akiuliza ''who's that knocks?" nani huyo anagonga? ile kufungua mlango, anakutana uso kwa uso na mama yake mzazi,wanasalimiana kisha mama kuchoma ndani,duuuh! mama anatoa miwani,na kututazama kwa dharau na kisha anamgeukia mwanae na kumwambia"have you brought ebola in my home? take them away with you,they don't match us!" umeleta ebola nyumbani kwangu? ondoka nao hawaendani nasi.
Siyo siri nilichoka kidume mie,ikanikumbusha jinsi rais Goodluck Jonathan wa Nigeria alivyowahi kutua JFK airport new york na akapimwa kwanza ebola kabla ya kuruhusiwa kuingia US kwanza.
Wazungu wanatudharau sana sie weusi,hujiona ni binadamu first class!