Muombe huyo mzungu radhi ili uwe salama Wewe ndo mbaguzi, kwa nini uhisi kubaguliwa, wakati yeye kasema ukweli? umepeleka maradhi pale na hamfanani kwani uongo?
Waafrika ni wabaguzi sana kuliko hata hao wazungu,
Mzungu anafanya ubaguzi ndivo, sababu Blacks ndiyo mlivyo kwa sababu zifuatazo;
Mlizibagua mila na desturi zenu mkapenda za kwao. mkakumbatia dini za uongo
Mliuza ndugu zenu utumwani bila huruma, tena kwa unyama, mpaka yeye mwenyewe akaona aibu akakataa.
Mpaka leo mnawauza mna waua bila huruma, kiuchawi. kiuchumi, kisakologia
Ubaguzi wa kichoyo wa kutoa michango yenu ktk Dunia ya leo, mfano mwanamalundi kafa na technolojia yake.
Nyie ni wajinga mnapenda majina yao, Na sifa za kijinga , lugha yao, vyakula vyao, nguo zao, kwa nini ulimuangalia machoni wakati unaongea na huyo mtu wenu? Ulisha jidharau yeye akamalizia.
Unatukoga eti east Rondon, habari za huko nyumbani, Angalia sasa mimi niko Sydney lkn utadhani niko kariakoo au mkoani.