BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI

BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI

Sitaki kuleta habari za shehe Yahaya lakini huyu chalii atakua na mwisho mbaya asipokua makini! Au hizi K kazijulia ukubwani? Ukizingatia na 'mbolea' ya mapenzi ndio imekubali basi anawagegeda tu!

Swala hapa sio wivu, ila kama vijana lazima tushauriane, ukijifanya 'kibolodinda' na kutumia 'kalamu' yako vibaya kila sehemu waandika tu, kuna sehemu nyingine zina mafuta na hazifai 'kalamu' itagoma..! Then mwisho wa siku,its all over! So watch out..haya maisha tu!
 
Hilo li dimond ovyoooo sana yaan halijastaarabika hata kidogo....shame on him na ninawashangaa sana wanawake wanaomshadadia na kumtetea....tusitetee ujings wewe kama una ham ya kuonjwa na domo nenda kimya kimya...i wish wanawake wa tz tungemfanya domo kama mchumba wa rihana alivyofanywa na wanawake wa kimarekan nyau kabisa angeomba msamaha mpk akili imkae sawa......ovyo sana wewe lijanamke unayemtetea domo....
 
mods mmelala? kuna watu wanahitaji bun hapa
mods wa hili jukwaa kulikoni?
 
Umecopy online unasema online wapi? Kama huko online hakuna web add basi ni wewe ndio umeandika.

Ukiiba maandiko ya watu lazima useme wapi umetoa.
 
Back
Top Bottom