barua kwa @farkhina na wana chit-chat wote.

Kwani mie nlimtuma anipende....ndo akomeeee

kila shetani na mbuyu wake na kila ndege hutua kwenye mti aupendao sasa yeye moyo wake umetua kwako tafadhali upokee uhifadh ya kidani cha moyo wako kwani yumpweke sana kijana
 
mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…