Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Ni whatsAAp sio wozap!
Hahahaha mwambie bana babu huyo. Dah!
Hahaha umeonae!
nami nimekupm kim nana
Wakati wewe unaandika maneno matamu ya kuchombeza, kuna mwanaume mwenzio huko anakatikiwa mauno.
Endelea kujipa moyo, si vibaya kulea mtoto wa mwanaume mwenzio.
Ni whatsAAp sio wozap!
Hahahaha mwambie bana babu huyo. Dah!
Uko makini sana bro, watu wengi wanakoseaga sana hiyo maneno. Mwingine ataandika 'Whats-app', sijui hata tuwasaidie vipi.
Btw, hongera bana, naona shemeji barua kaipata na ameijibu.
Bali ukweli halisi ni upi? Inaelekea we umesoma intaneshno skul. Si wengine tumesoma seint Kayumba praimare tukaishia darasa la sita B. Kuwozapisha ndo zetu yani....
Kwanza amechukizwa na maandishi mkato na yasio na maana kama mmi, cjui n.k. uende kwao jioni ukaone alivyo kobolewa wakati wewe unajikunja kuandika kiswahili kibovu.
Hayupo humu Kweli
Eish.... Asa anambie nini?? Mi na michuchu kuwozapisha ndo zetu....
Bali ukweli halisi ni upi? Inaelekea we umesoma intaneshno skul. Si wengine tumesoma seint Kayumba praimare tukaishia darasa la sita B. Kuwozapisha ndo zetu yani....
Maneno matamu haya
Maneno matamu haya
Mkuu naona Upendo wa dhati ndani yako, hope barua itamfikia mhusika.