Barua kwa mke wangu mtarajiwa

Barua kwa mke wangu mtarajiwa

Wakati wewe unaandika maneno matamu ya kuchombeza, kuna mwanaume mwenzio huko anakatikiwa mauno.

Endelea kujipa moyo, si vibaya kulea mtoto wa mwanaume mwenzio.

Kwanza amechukizwa na maandishi mkato na yasio na maana kama mmi, cjui n.k. uende kwao jioni ukaone alivyo kobolewa wakati wewe unajikunja kuandika kiswahili kibovu.
 
Uko makini sana bro, watu wengi wanakoseaga sana hiyo maneno. Mwingine ataandika 'Whats-app', sijui hata tuwasaidie vipi.

Btw, hongera bana, naona shemeji barua kaipata na ameijibu.

Bali ukweli halisi ni upi? Inaelekea we umesoma intaneshno skul. Si wengine tumesoma seint Kayumba praimare tukaishia darasa la sita B. Kuwozapisha ndo zetu yani....
 
Eish.... Asa anambie nini?? Mi na michuchu kuwozapisha ndo zetu....

Bali ukweli halisi ni upi? Inaelekea we umesoma intaneshno skul. Si wengine tumesoma seint Kayumba praimare tukaishia darasa la sita B. Kuwozapisha ndo zetu yani....

Haha hujanielewa kabisa Boss, soma tena vizuri. If offended, my bad bro, i only mean't well.
 
jidanganye na barua yk!! mwenzako huko unakun'gon'ga tu,maana hatakuita mwanaume suruali bali ni mwanaume msuli
 
Back
Top Bottom