lost Crown prince
Member
- Jun 12, 2015
- 58
- 24
- Thread starter
-
- #61
jidanganye na barua yk!! mwenzako huko unakun'gon'ga tu,maana hatakuita mwanaume suruali bali ni mwanaume msuli
Changamkia fursa hio
Mungu akujalie all the best mkuu
Haha hujanielewa kabisa Boss, soma tena vizuri. If offended, my bad bro, i only mean't well.
Pamoja sana..... elewa sana mimi yani.
Basi tu.
sasa na wewe useme basi pm zoote hizo. hutaki kuufunga uzi tu.
lost crown prince[/QUOT
Waache waendelee kutuma2!
Mkuu komaa,nimekukubali kwa ubunifu huu!
Barua Yangu bado haijamfikia tu,mke wangu mtarajiwa!!!
Lost crown prince...am searching for prince charming are you the one???
Acha tu
Acha tu