kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
jamani si mmeona hata ibenge alimtania au kumdhihaki? Nafasi ngapi alizotengenezewa na wenzake alizipoteza hivihivi? Ni wakati wa kumuamini makambo.Yaani mtu unakurupka na infinix lako kumshauri kocha mwenye leseni ya kufundisha timu zote duniani.