Barua kwa Prof. Nabi: Nabi mwambie Mayele aache kutetema kwenye mashindano ya CAF.

Yaani mtu unakurupka na infinix lako kumshauri kocha mwenye leseni ya kufundisha timu zote duniani.
jamani si mmeona hata ibenge alimtania au kumdhihaki? Nafasi ngapi alizotengenezewa na wenzake alizipoteza hivihivi? Ni wakati wa kumuamini makambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…