Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

Walipaswa kutoa hints mapema kwa Mama wakati tuu majina yameletwa ili hili lisiwe hadharani kama ilivyokuwa. Pia kama wao ndio watoaji wa hili desa wamefeli makubwa kutoa kwenye mtandao badala ya kulipeleka official kwa mama.
Ukiona inatoka hadharani hivi fahamu kwamba zimeenda hints za kutosha lakini sponsor wala hazitilii maanani. Maadam anajua wapo ambao hawalali wanakesha kuhakikisha mipaka na ndani ya mipaka wanakuwa salama basi wacha aje tu huyo mtu.

Anasahau kwamba, usalama ni utaalam nyeti sana unaopaswa kupewa kipaumbele kwenye kila briefings kupunguza madhara ama kuyazuia kabisa
 
Asante kwa kunifungua kwa kuwa mimi ni miongoni mwao wengi ambao kimsingi hatukuja sababu za kuuwawa kwa kabila mkubwa
 
Desa limeshiba kazi kwa Tiss Tz, wamelala usingizi wa pono mpaka raia wameenda front aisee.
Yaani tiss wakose taarifa za Rwanda!!?..nyi watu huwa mnayachukuliaje mambo!?
 
Mjomba mama....🤣🤣
 
Kwa mazingira hayo, itakuwa ni hatari kubwa sana kuruhusu hilo jasusi kuja nchini. Azuiwe kwanza kupisha uchunguzi.
Hapana kwenye maswala ya diplomasia unarihusiwa kumkataa balozi bila ya kutoa sababu , na imeshatokea mara nyingi duniani
 
Kinapatikana wapi chief
 
Sawa sawa
 
Lakini kuna kipindi hao hao Rwanda waliowahi kumlalamikia balozi mteule toka Tanzania kuwa nae ni Jasusi
 
Nonsensical and absolutely Rubbish!!
Inawezekana ikawa hivyo kwamba ni rubbish. Na inawezekana isiwe hivyo.

Ila ukiisoma vizuri, hii ni vita yao, wahutu na watusi ambao wamejivika mavazi tofauti. Wanafuyatilia kweli kila linaloendelea Rwanda na DRC Congo, na mustakabali wake.

Tusifanye masihara, kama hatua za haraka hazitafikiwa, kuna bomu litalipuka tena
 
Punguza ujinga. Mbona balozi aliyepita wa TZ alikuwa Mwanajeshi.
 
Bandiko.zuri lakini umekosea kuandika jina lako hapo chini!!

Kosa kubwa sana!!

Sasa nakuambia hivi;-

1.Huyo jamaa kuja hapa Bongo ana baraka zote za wawili hao yaani mama na huyo ok!!

2.Mama anamhitaji ok kimkakati kuelekea kufanikisha muhula wake wa pili ambao umegibikwa na kupingwa na mfumo dume ndio maana jinsia zimeanza kutajwa kama karata za kampeni kuelekea 2025!

2.kimkakati mama anamhitaji huyo jamaa aliefanikisha deal Ile iliyopigiwa kelele na TEC,ndio maana pk kaweka kina mama wengi kwenye Bunge lake na uongozi na huyu mama anataka kutumia mkakati huo huo Ili apete 2025!!

Hay ni maoni binafsi kutokana na ulichoandika hapa!!hayana chanzo Cha kuaminika Bali maoni TU!
 
Mkuu Genta, hebu tupatie nondo za uhakika ili tusiiamini hiyo nonsensical and absolutely rubbish info. ya barua ya wazi aliyopelekewa Mh. Rais wa JMT.
Asante.
Hana dondo huyo,kaamua tu kuandika hivyo,au anamuonea gere mwenzake kwa kuwa kichwa,we mtu kaomba hadi rais akitaka amuute akateme madini,we bado una crash tu,dumb ass
 
Desa limeshiba kazi kwa Tiss Tz, wamelala usingizi wa pono mpaka raia wameenda front aisee.
Kwa mawazo yako huyu anamfahamu sana jamaa kuzidi CMI na DGIS? na taasisi zao? pathetic..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…