Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019.
Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini uchumi wa watu hao unategemea biashara ya samaki pekee.
Sasa kukosekana kwa samaki kwenye bwawa hilli kumefanya familia nyingi kuachwa aidha mwanaume kukimbilia mikoa mingine kutafuta maisha au wanawake kuwakimbia waume zao kwasababu ya maisha kuwa magumu.
Sasa Mh WAZIRI tunakuomba uje tujadiliane namna ya kuokoa hali hii kwani ni mwaka wa 5 huu hali ya maisha imekuwa ngumu sana ikiwezekana tuletee watafiti achunguze ni kwanini samaki wametoweka wote na kuleta suruhisho nikutakie majukumu mema ya kitaifa.
Asalaam aleikum.