Barua maalum kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

Kufa c mwiko

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
752
Reaction score
320
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019.

Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini uchumi wa watu hao unategemea biashara ya samaki pekee.

Sasa kukosekana kwa samaki kwenye bwawa hilli kumefanya familia nyingi kuachwa aidha mwanaume kukimbilia mikoa mingine kutafuta maisha au wanawake kuwakimbia waume zao kwasababu ya maisha kuwa magumu.

Sasa Mh WAZIRI tunakuomba uje tujadiliane namna ya kuokoa hali hii kwani ni mwaka wa 5 huu hali ya maisha imekuwa ngumu sana ikiwezekana tuletee watafiti achunguze ni kwanini samaki wametoweka wote na kuleta suruhisho nikutakie majukumu mema ya kitaifa.

Asalaam aleikum.
 
Nimekaa wiki moja pale migoli mwezi uliopita kisha Mtera ziara yangu ikaishia chipogolo hayo maeneo hali ni mbaya Sana maeneo yote hayo limepita bwawa la Mtera nafkiri ni muda muhafaka Sasa serilkali KUU ilichukulie janga hili kama janga la kitaifa pia ikiwezekana wakapandikize mbegu mpya kama sato nk hali ni mbaya Sana ukizingatia maeneo hayo ni jangwa kilimo hakistawi kabisa bwawa ndio kitega uchumi pekee Cha wakazi waeneo hayo.
 
kwel kabisa ukienda chibwegele,chamsisil, champumba had igtngtli kule hali mbaya kabisa
 
Tatizo sio uvuvi haramu kwasababu Kuna eneo ambalo linalindwa na Suma jkt 24hrs ambalo Kuna mitambo ya kuzalisha umeme hata hapo hakuna samaki
Usijitetee mkuu, uvuvi haramu ndiyo chanzo
 
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019.

Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini uchumi wa watu hao unategemea biashara ya samaki pekee.

Sasa kukosekana kwa samaki kwenye bwawa hilli kumefanya familia nyingi kuachwa aidha mwanaume kukimbilia mikoa mingine kutafuta maisha au wanawake kuwakimbia waume zao kwasababu ya maisha kuwa magumu.

Sasa Mh WAZIRI tunakuomba uje tujadiliane namna ya kuokoa hali hii kwani ni mwaka wa 5 huu hali ya maisha imekuwa ngumu sana ikiwezekana tuletee watafiti achunguze ni kwanini samaki wametoweka wote na kuleta suruhisho nikutakie majukumu mema ya kitaifa.

Asalaam aleikum.
Hawa perege na kambale tunaowala Dar kila siku wanatoka Mtera ipi? suzy upo?
 
Tatizo sio uvuvi haramu kwasababu Kuna eneo ambalo linalindwa na Suma jkt 24hrs ambalo Kuna mitambo ya kuzalisha umeme hata hapo hakuna samaki
Ulijuaje samaki hawapo wakati unasema pana Ulinzi
 
Na huu ndio ukweli ambao hawapendi kuambiwa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Fanyeni utafiti kabla ya kuja na majibu mepesi ni kwamba Ili bwawa la Mtera ambalo chanzo chake ni mto ruaha huu mto unamatumizi mengi mojawapo ni umwagiliaji kule kwenye mashamba makubwa ya mipunga wameweka utaratibu kwamba yalle Maji yanatumika baada ya kuchepushwa kisha yanarudi tena mto ruaha Sasa shida inakuja pale yanaporudi na madawa Yale yanayorumika kumwagilia mazao (zinazomwagiliwa na helikopta)pili Kuna nyavu zinaitwa timba kutoka china nazo tangu zianze kutumika kwenye bwawa Hilo samaki wamekuwa wa shida tuombe serikali ichunguze nyavu za timba Zina shida gani.
 
Back
Top Bottom