Barua Pepe Kutoka CIA (Central Intelligence Agency) Kwenda Kwa Mohamed Said

Barua Pepe Kutoka CIA (Central Intelligence Agency) Kwenda Kwa Mohamed Said

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
Mohamed Said anasimulia kuwa alipokea ujumbe wa moja kwa moja kutoka CIA mnamo mwaka 2006 wakati akifanya utafiti kwenye mtandao:
  • "mimi niliwahi kuletewa email message ujumbe katika emaili yangu kutoka CIA Central Intelligence Agency".
  • "Meseji hii ilikuwa inasema kuwa tunakuona unapita kwenye blogu zinazohusiana na ugaidi".
  • Alikiri kuwa alipata hofu baada ya kusoma ujumbe huo: "nikasoma ile nikaona hata hofu... kuichapa ile na kuiweka katika nyaraka zangu nikachangachana".
Muktadha wa Ufuatiliaji Huo
Ufuatiliaji huo ulitokea wakati mwanahistoria huyo akitafuta maelezo ya kuandikia andiko (paper) kuhusu ugaidi kwa ajili ya mkutano nchini Nigeria:
  • "nilikuwa naanza kupita kwenye mitandao kuangalia pepa kama zile watu wa dunia inasema je kuhusu kuhusu 911 ndio hapo nilipopokea email kutoka CIA ikinionya kuwa wameniona wanapita kwenye mitandao ya kigaidi".
  • Alisisitiza kuwa mitandao hiyo haikuwa ya kigaidi bali ya mawazo ya Kiislamu: "walahi wala haikuwa mitandao kigaidi na unaweza kusema kuwa ni mitandao labda ya kiislamu na watu wanaandika fikira zao".
Hisia Juu ya Nguvu ya CIA na Marekani
Mohamed Said anaeleza namna alivyogundua kuwa yumo kwenye rada za shirika hilo:
  • "nilikuwa tayari nishaingia kwenye rekod zao na walikuwa wananifuatilia kwa karibu".
  • "na hata ile paper naandika mimi bila shaka walikuwa naisoma kila kitu nakiona pale".
  • Alielezea shirika hilo kama "Shirika kubwa la ujasusi duniani la Kimarekani".

View: https://youtu.be/S1Fkfman4Ac?si=zpeRiIJ_RQL7Xk8a
 
umekuwa ukijimwagia sifa nyingi sana hapa isivyo kawaida hasa kwa watu ambao ni high achievers kwa hali ya kawaida high achievers huacha mafanikio yao kuongea yenyewe. sasa je, unaweza labda kutuwekea cv yako hapa hata kwa muhtasari tu tuone ulichosomea na wapi your thesis na mambo kama hayo? i.e profession yako ...
 
umekuwa ukijimwagia sifa nyingi sana hapa isivyo kawaida hasa kwa watu ambao ni high achievers kwa hali ya kawaida high achievers huacha mafaniko yao kuongea yenyewe. sasa je, unaweza labda kutuwekea cv yako hapa hata kwa muhtasari tu tuone ulichosomea na wapi your thesis na mambo kama hayo? i.e profession yako ...
Kijajazi,
Kama ningetaka kujisifia leo wewe usingeniuliza CV yangu na hayo mengine.

Hapa mimi naeleza tu yake niliyopitia.

Bahati mbaya wewe unadhani najisifu.
 
Mpwimbe,
Nimekutana na mengi katika ujana wangu.

Taratibu nitakuwa naeleza In Shaa Allah.

Bahati mbaya sana kalamu yangu inakuumiza.
Iniumize mimi??

😂🤣🤣🤣🤣

Mimi nahurumia tu wajukuu zano kwa kuwa na babu mjinga na mdini kama wewe, ambaye umeshindwa kuwajengea msingi mzuri, badala yake unazalisha watumwa wa Mwarabu.
 
Iniumize mimi??

😂🤣🤣🤣🤣

Mimi nahurumia tu wajukuu zano kwa kuwa na babu mjinga na mdini kama wewe, ambaye umeshindwa kuwajengea msingi mzuri, badala yake unazalisha watumwa wa Mwarabu.
Mpwimbe,
Unatukana na mtu hatukani ila awe kaghadhibika.

Unaniita mjinga.

Ingekuwa hivyo hapa JF nisingechaguliwa Mwandishi Bora Jukwaa la Historia miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.

Kama ningekuwa mjinga wewe usingesoma haya niandikayo.
 
Matusi yako wapi, wewe Mzee?
 
Matusi yako wapi, wewe Mzee?
Mpwimbe,
Ikiwa unaona hakuna matusi ni vyema pia.
Unadhani si utovu wa adabu kuniita, ''Wewe Mzee?''

1786040492741.png

1786040281888.png
 
Ni site zipi ulizofungua hadi cia wakakutumia email ya kukuonya!
 
Back
Top Bottom