Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Kufa, potelea mbali. Mtu akipenda dining yake ni mdini? Mdini ni mtu anayebagua wengine, kama mfumo wa Kanisa uliopo Tanzania.Mdini mkubwa. Useless
Mzee anachanganyikiwa sasa
Mpwimbe,Mzee anachanganyikiwa sasa
Kijajazi,umekuwa ukijimwagia sifa nyingi sana hapa isivyo kawaida hasa kwa watu ambao ni high achievers kwa hali ya kawaida high achievers huacha mafaniko yao kuongea yenyewe. sasa je, unaweza labda kutuwekea cv yako hapa hata kwa muhtasari tu tuone ulichosomea na wapi your thesis na mambo kama hayo? i.e profession yako ...
Iniumize mimi??Mpwimbe,
Nimekutana na mengi katika ujana wangu.
Taratibu nitakuwa naeleza In Shaa Allah.
Bahati mbaya sana kalamu yangu inakuumiza.
Mpwimbe,Iniumize mimi??
ππ€£π€£π€£π€£
Mimi nahurumia tu wajukuu zano kwa kuwa na babu mjinga na mdini kama wewe, ambaye umeshindwa kuwajengea msingi mzuri, badala yake unazalisha watumwa wa Mwarabu.
Mpwimbe,Iniumize mimi??
ππ€£π€£π€£π€£
Mimi nahurumia tu wajukuu zano kwa kuwa na babu mjinga na mdini kama wewe, ambaye umeshindwa kuwajengea msingi mzuri, badala yake unazalisha watumwa wa Mwarabu.
Matusi yako wapi, wewe Mzee?Mpwimbe,
Unatukana na mtu hatukani ila awe kaghadhibika.
Unaniita mjinga.
Ingekuwa hivyo hapa JF nisingechaguliwa Mwandishi Bora Jukwaa la Historia miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.
Kama ningekuwa mjinga wewe usingesoma haya niandikayo.
Mpwimbe,Matusi yako wapi, wewe Mzee?
Gagnija,Ni site zipi ulizofungua hadi cia wakakutumia email ya kukuonya!