Barua toka kwa mtahiniwa form 4

Sijui katumia lugha gani kuandika Englis yake, sio kiswahili wala kiingereza
 
Wakikuwa watakaa chini wafikiri muda na hasara kwa wazazi wao
 
Naona kama vile kipindi cha 'ze komedi' kwa muda wote kilipokuwa hewani kimechangia kuharibu lugha ya vijana wetu.
 
amesomeka vizuri kijana na ndio maana tume isha undwa kwa ajili yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…