Barua toka kwa mtahiniwa form 4

Barua toka kwa mtahiniwa form 4

Sijui katumia lugha gani kuandika Englis yake, sio kiswahili wala kiingereza
 
Naona kama vile kipindi cha 'ze komedi' kwa muda wote kilipokuwa hewani kimechangia kuharibu lugha ya vijana wetu.
 
amesomeka vizuri kijana na ndio maana tume isha undwa kwa ajili yao
 
Back
Top Bottom