Barua toka kwa.....

as a scientist u are not deemed to think that way broda! well,it has had its benefit, who knowa maybe overpopulation ingelemea dunia! tunavyopenda kujamiiana siku hizi bila hiv si mimba zingekutana mwilini?

mkuu lkn hapo kidogo niko kinyume na wewe...kwa nini kama kweli ilikuwa na benefits kwa nini test iwe Africa? kila siku hili bara ni la test tuuuuuuuuuuuuuuu?
 
Oooh...Magulu, pole sana Mangi..
at least Jannet alikupenda kwa dhati...alikupenda akakulinda!
Ninapatwa na hofu nikifikiria Jannets wa siku hizi...si atasema tufe wote tu!??
mh...

wa sasa mkuu angenimaliza..lkn ni long story mzee huenda hata wa sasa angefanya hivyo...
 
as a scientist u are not deemed to think that way broda! well,it has had its benefit, who knowa maybe overpopulation ingelemea dunia! tunavyopenda kujamiiana siku hizi bila hiv si mimba zingekutana mwilini?
Mhhhh!!! kama kuna ukweli vileee!!!
 
Ahadii mutu yangu jamani hata wewe U need break? how short will take?


Nilikua na maneno mengi juu ya hii Baru Magu... but ndoa yangu ya jamvini ilikua ime shake hivyo kuweka mambo sawa kwanza...lol..

Nimeiipenda Barua na naomba nitoe analysis ya hio Barua...
Maana imenipa an insight about you very impressive

About Magu

A very caring man, kabahatika kupata penzi la kweli, anajua ku-express mapenzi
yuko focused na si rahisi kushawishika (yawezekana una principles za kutotembea na rafiki wa mpenzio)
ila haina maana kua angekua mwingine ni guarantee ungekataa... Ni wachache hupeleka wapenzi
sehemu asilia as in watching the stars and moon...na the like, wengi hupeleka party, hotels, yaani
sehemu ambayo itawezesha muweze do.. I hope you have not changed... Hongera bana...

@ Jannet

Wadada (hata wakaka ) wa namna hii ni adimu... adimu mno... and it makes you feel for her
But then unarudi kwako mwenyewe as an individual na kuanza kutafakari... atleast anajitambua
na kuweza protect wale anapenda... JE wangapi wanaweza... She seems to be a Great Woman
aina ya wadada napenda saaaana nifahamu, nijue msimamo na ufikiri wao ili niweze ongeza nilipo...
Anajitambua... hajakata tamaa na maisha for she has loved... Na anajua nini anataka... with
tha spirit... waweza kuta yupo hata hai mpaka sasa... Magu i hope ulifanya lolote
kuonesha ulithamini mno jinsi alivyokuthamini mno...

I Love it.... Thank you for sharing...:A S-rose:
 
I accept that bro and real it will hurt you for long time ila jaribu kusahau fanya mambo mengine na endelea na maisha yako

mkuu kila niwazapo jannet is between, kila nikilala before I mention her name, na nikiamka jannet is ma first thing after god...she made me strong as i made her lkn kwa bahati mbaya alioondoka....
 

ashadii ujue wengi wengi tunajua kusema nakupenda lkn kujua jinsi ya kulipenda penzi na kulitunza hilo penzi ndio kazi...Jannet alinisaidia mambo mengi sana ni pamoja na mie kujiona nitatenda dhambi ingawa nitalazimisha kufanya nae tendo la ndoa, Alijua mie sio mtu wa papala na alijua ataweza kuishi na mimi kwa muda mrefu ila mitego yake yote ili kuachana na mimi ilifail na alijua yote hayo....Sikuweza msaliti kwa jinsi yoyote ile, kila nilichojua kitaweza tetelesha mahusiaono yetu nilimueleza kabla yeye kujua, tulishauriana jinsi ya kuepuka uzembe, hiyo ilinifanya kila nimuonapo Jannet niliona kama ndo siku ya kwanza kukutana nae, Jannet baada ya kuondoka afya yake ilizidi kudhorota kila siku, nadhani nia ukosefu wa furaha, nilipokea barua ya pili toka kwake nitaiweka hapa maana kila nikijaribu kuisoma machozi hunitoka hivyo nimeifungia sehemu......
 
mkuu kila niwazapo jannet is between, kila nikilala before I mention her name, na nikiamka jannet is ma first thing after god...she made me strong as i made her lkn kwa bahati mbaya alioondoka....

Men you have to mov one with your life. Maana ikiwa kwa mfano ungekuwa umeshafanya mapenzi na yeye ingekuwaje. Usingekuwa unamfeel hata msichana wako utakayekuwa nae. Maisha ni mapito na hayana budi kuwepo ila pambana na hilo then muombe Mungu na mshukuru kwa klililotokea na then muombe akupe mtu atakayeziba pengo la janet then move on brother
 
mkuu lkn hapo kidogo niko kinyume na wewe...kwa nini kama kweli ilikuwa na benefits kwa nini test iwe Africa? kila siku hili bara ni la test tuuuuuuuuuuuuuuu?
Because that‘s where the animals are (aficans that is).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…