Sahihi maana AU ni kama Mbwa asiye na meno, ila for the records sio mbaya!Huko wanapoteza muda tu
Angalau kuweka rekodi sawa!Huko wanapoteza muda tu
Wafanyeje sasa?Huko wanapoteza muda tu
Baada ya Nyerere kusaidia ukombozi , wa nchi kadhaà, ni wakati sasa EAC, Sadc, AU , nao waanze kuwa saidia waTz watoke kwenye huu uonevuChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha taarifa rasmi kwa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), kikieleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa na haki za binadamu nchini Tanzania kufuatia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
Mkutano huo ulifanyika Februari 14 hadi 15, 2026 jijini Addis Ababa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia na kuwahusisha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Katika taarifa hiyo ya Februari 13 iliyosainiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, imeeleza kuwa mazingira ya uchaguzi yalikuwa na ukandamizaji wa upinzani, kufungwa kwa nafasi ya kisiasa, kukamatwa kwa viongozi wa upinzani na kuzuiwa kwa vyombo huru vya habari. Chama hicho pia kimelalamikia kuendelea kushikiliwa kwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, anayekabiliwa na shtaka la uhaini.
Aidha, CHADEMA kimeitaka AU kushughulikia madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo mauaji, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya raia.
Chama hicho kimetoa wito kwa viongozi wa Afrika kuunga mkono uchunguzi huru wa kimataifa na kusisitiza kuwa uhalali wa uongozi unapaswa kutokana na matakwa ya wananchi yaliyoelezwa kwa uhuru na haki.
Hii ndiyo iliyomletea aibu Samuya huko Ethiopia kiasi cha wenzake kuona aibu kumpa hata nafasi ya zile dakika 3 asalimie mpaka Mzanzibari mwenzaje aliyempa u - Minister wa Foreign Affairs wa nchi ya Tanganyika akajitokeza kumtetea na kujaribu kumsafisha kwa toilet paper...Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha taarifa rasmi kwa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), kikieleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa na haki za binadamu nchini Tanzania kufuatia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
Mkutano huo ulifanyika Februari 14 hadi 15, 2026 jijini Addis Ababa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia na kuwahusisha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Katika taarifa hiyo ya Februari 13 iliyosainiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, imeeleza kuwa mazingira ya uchaguzi yalikuwa na ukandamizaji wa upinzani, kufungwa kwa nafasi ya kisiasa, kukamatwa kwa viongozi wa upinzani na kuzuiwa kwa vyombo huru vya habari. Chama hicho pia kimelalamikia kuendelea kushikiliwa kwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, anayekabiliwa na shtaka la uhaini.
Aidha, CHADEMA kimeitaka AU kushughulikia madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo mauaji, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya raia.
Chama hicho kimetoa wito kwa viongozi wa Afrika kuunga mkono uchunguzi huru wa kimataifa na kusisitiza kuwa uhalali wa uongozi unapaswa kutokana na matakwa ya wananchi yaliyoelezwa kwa uhuru na haki.
Swali linalobaki ni baada ya kutoridhika na uchaguzi uliofanyika (au kama wanasema hakukuwa na uchaguzi kabisa), taasisi kama AU inaweza kufanya nini cha ziada? Hawa CCM wanapata jeuri maana wanajua mwisho wa siku ni matamko tu yanatolewa.Hii ndiyo iliyomletea aibu Samuya huko Ethiopia kiasi cha wenzake kuona aibu kumpa hata nafasi ya zile dakika 3 asalimie mpaka Mzanzibari mwenzaje aliyempa u - Minister wa Foreign Affairs wa nchi ya Tanganyika akajitokeza kumtetea na kujaribu kumsafisha kwa toilet paper...
Na ofcoz, barua imejaa facts tupu. Na kweli hizo zikawaingia sawasawa viongozi wa AU na kuona isiwe taabu, tumtose baharini muuaji huyu...
Na by the way, ripoti ya waangalizi wa AU ktk uchaguzi wa 29/2025 unaodaiwa na Samia mwenyewe kuwa ndio uliompa uhalali wa kuwa Rais wa Tanganyika iko very clear kuwa iliukataa uchaguzi ule kwa kuwa haukuwa huru, wa wazi na wa haki na hivyo KUTOKIDHI VIWANGO VYA CHAGUZI ZA KIDEMOKRASIA VILIVYOWEKWA NA AU WENYEWE...
Ingekuwa ni ajabu, mtu aliyejipachika u Rais na wao kumkataa wamtambue tena..!