Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Kuitenga yanga na ccm ni ngumu sna , wanachadema mliopo huko sanukeni, hamieni hata lipuli
 
Hersi siyo Yanga, atapita na kuondoka zake tu.

Ndio maana hata Washabiki wa Yanga wamechoma jezi
Kamanda kwani sisi CHADEMA kushitaki FIFA ina maana sisi pia niwanachama? Je,kushitaki FIFA timu ya mpira si kwamba nasi tunaingiza siasa kwenye mpira?
 
sijui nani aliyetuloga mwaka huu
 
Unadhani FIFA ni vihiyo kama nyie?
 
Sidhani kama malalamiko haya yana ushahidi.
Moja ya ushahidi ilikuwa kuwepo azimio la vikao vya Yanga vikiazimia kuichangia CCM
 
Unadhani FIFA ni vihiyo kama nyie?
Na hiyo ndio hoja yangu ya msingi. FIFA sio wajinga wajinga eti mnagombana kisiasa nao mnawaingiza. Ingelikuwa hivyo, kila siku FIFA wangelikuwa wanahukumu mambo ya kipuuzi kama haya ya Chadema!
 
Kabisa Mkuu. CDM wamechemka. Walitakiwa wawashawishi wadau wa soka ndio waandike hiyo complaint FIFA na sio wao. Walichofanya no yale Yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…