CHADEMA wameandika barua Yao kwenda FIFA, kulalamika Yanga kuwa karibu na CCM
CHADEMA wamitaka FIFA ifanye yafuatayo
1. FIFA kuichunguza Yanga juu ya ushiriki wao kwenye masuala ya Kisiasa
2 Yanga na viongozi wake waadhibiwe kulinga na kanuni na taratibu za FIFA
3. Kuzuia Tanzania kushiriki katika masuala ya soka
CHADEMA wapo tayari kutoa ushirikiano Kwa FIFA pale watakapo hitajika
View attachment 3444465
Maoni yangu binafsi: CHADEMA ni Chama changu ila hapa wanapuyanga
Naona wazi wanataka kutugawa sisi Wanachama wa Yanga, kipindi hiki chadema inahitaji mshikamano kuliko kuwagawa Wanachama
CHADEMA wajue kuwa ni rahisi kuhama Chama cha siasa kuliko timu ya Mpira
Yanga walishatolea ufafanuzi na kuomba radhi. Sasa chadema kuchagua taswira ya nchi yetu haijakaa poa
CHADEMA hawajui washike agenda Gani, wapo kudandia kiki, lolote linaloibuka wanalitaka
CHADEMA nawambia Yanga ni kina kirefi mtazama na kupoteza
Muda wa Kuhamia CHAUMA aka futuhi Chama la Ubwabwa umefika