Kwa uchaguzi upi? Uchaguzi maigizo wa kushindana na mzinzi Salum mwalimu wa chauma ubwabwa chama chawa wa ccmTunatiki

Kwa Akili zenu huko ccm mnaona ni sawa kupokea mchango wa club yenye wapenzi wa vyana vingi? Chadema hawataki majibu ya FIFA kwani wao wametoa taarifa ijibiwe isijibiwe msg sentSasa kwa akili zenu huko chadema mnaona hy barua itafanyiwa kazi wakati mmeruka utaratibu?
Kwan kulikuwa na mualiko kwamba watu wanaingia kwa majina?Kwa Akili zenu huko ccm mnaona ni sawa kupokea mchango wa club yenye wapenzi wa vyana vingi? Chadema hawataki majibu ya FIFA kwani wao wametoa taarifa ijibiwe isijibiwe msg sent
Agenda za kitaifa ni yanga kuchangia ccm?Chadema wanarukia kila tukio, ni dalili ya kukosa agenda za kitaifa. Hata mtu akinyampa watatoa press release
Nyumbu ni ccm na yanga ina wapenzi wa vyama vyote si club ya ibilisi wa ccm pekeeYaani niache kushabikia yanga kisa?
Nyumbu bhana!
Kwa hyo mizuka political party ni kamati ya maadili ya tff au?
Uko sahihi. Hapakuwa na sababu ya CHADEMA kujiingiza kwenye suala hili. Hasa baada ya watu kibao ( akiwemo mmoja wa wanachama wao maarufu) kutoa taarifa FIFA. Inajijengea uhasama usio na tija. Labda kama nao wanataka kuonekana ni chama cha Simba maana adui mkubwa wa Yanga ni Simba.Hapa CDM kama kweli wameandika wao wamezingua sana. Watatengeneza chuki zaidi kwa chama chao kwa baadhi ya mashabiki wa Yanga.
Linapokuja suala la usimba na uyanga tunajuana sisi. Natamani isiwe kweli, ama wakanushe hii habari.
Pia mfano yanga wangewachangia chadema ingekuwa balaa kubwa wangeundiwa zengwe kubwa kubambikiwa kesi na hata kubambikiwa kodi na TRA kisha kufungiwa na FIFAKisheria, mtu au taasisi yoyote iliyoathiriwa na jambo fulani wana haki ya kushtaki na kulalamika.
CHADEMA ni mwathirika wa jambo walilofanya Yanga wana haki ya kulalamika kwa mamlaka husika.
Hii sio kuingilia mpira ni kutafuta haki na kusimamia sheria zilizowekwa.
Kama CHADEMA wangetoa fedha za chama na kusaidia Simba kununua wachezaji na Simba wakakubali, basi Yanga au timu yoyote wangekuwa na haki ya kulalamika FIFA pia na isingekuwa kuingilia siasa.
Tatizo linatokea polisi wakigundua kuwa huyo raia mwema nae ni mwizi! Taarifa ya raia mwema itatiliwa shaka hata kama ni ya kweli.Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana.
Kwa hiyo kwa reasoning yako hiyo.
Tuchukulie mfano mwepesi.
Polisi Tanzania hawataki Raia Mwema ajishughulishe na masuala ya wizi.
Sasa wewe Raia Mwema umeshuhudia tukio la wizi na kwa kuwa halijakufurahisha ukaamua kwenda kuriripoti Polisi.
Sasa kwa reasoning yako hiyo ni kwamba Polisi hawatalifanyia kazi lalamiko au hiyo ripoti yako kwa kuwa na wewe kwa kuripoti jambo hilo unakuwa na wewe umejihusisha na wizi.
Ila kwa kweli kuna watu vitu mnavyoandika vinaonyesha uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kwa ulichoandika sijakuelewa kabisa nakushauri uwe unasoma vitabu vya mada za reasoning and argumentation vitakusaidia kukuza uelewa wako.
Kiufupi umeandika pumba
Wewe ndiyo pimbi mvuta bangi hujui hata unaandika nini, kwani wewe ndiyo uliwatuma yanga kuichangia ccm? Kama yanga wasingefanya huo upumbavu mda huu ungekuwa unajadili nini wewe zuzu? Tanbua chanzo cha yote ni yanga kuchangia ibilisi wa ccm watesi waonevu wa chademaMapimbi haya hayaeleweki hata yanataka nini, yenyewe ni kudandia dandi tu issues😁
Shida ya mfano wako ni kuwa Chadema sio klabu ya mpira. Hamna ambae angeshangaa kama Simba angechukuliwa hatua maana itafaidika. Chadema itafaidika vipi kama Yanga itachuliwa hatua? Au wanataka FIFA iichukulie hatua CCM?Kisheria, mtu au taasisi yoyote iliyoathiriwa na jambo fulani wana haki ya kushtaki na kulalamika.
CHADEMA ni mwathirika wa jambo walilofanya Yanga wana haki ya kulalamika kwa mamlaka husika.
Hii sio kuingilia mpira ni kutafuta haki na kusimamia sheria zilizowekwa.
Kama CHADEMA wangetoa fedha za chama na kusaidia Simba kununua wachezaji na Simba wakakubali, basi Yanga au timu yoyote wangekuwa na haki ya kulalamika FIFA pia na isingekuwa kuingilia siasa.
Wakina Maria Sarungi walishawaandikia. Chadema wamefanya kuongezea tu.What a fatal mistake. Hiki walichofanya kinaweza kufanywa na wanaharakati na si chama cha siasa. CDM wangeacha jambo hili likafanywa na wanaharakati. Kosa kubwa la kiufundi.
Kwani ccm inachangia nini yanga? na kwani wewe ndiyo msemaji wa mipango mibovu kuchangia ibilisi wa ccm chama cha watesi wa chadema, tambua club ya yanga ina wanachama na hulipa Ada huchangia Timu na wao siyo ibilisi wa wa ccm kama wewe hawataki club kuchafuka kisa wewe kunufaika na huo upumbavu wa mwenyekiti wa yangaUnachangia nini kwenye Yanga? Hujawai kutoa hata mia mbovu alafu unataka kuwapangia Yanga cha kufanya
No reforms no ......imehamia Yanga!15 Agosti 2025
Kamati ya Maadili ya FIFA
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)
FIFA-Strasse 20
S.L.P. 8044
Zurich, Uswisi
KUMBUKUMBU YA MALALAMIKO RASMI DHIDI YA KLABU YA YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB KWA KUJIHUSISHA NA SIASA ZA VYAMA – TANZANIA
Waheshimiwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya FIFA,
Sisi, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa heshima tunawasilisha malalamiko haya rasmi na kuomba hatua za haraka kuchukuliwa kuhusu mwenendo wa Young African Sports Club (Yanga) ya Tanzania, ambayo vitendo vyake vya karibuni vinakiuka moja kwa moja misingi ya FIFA ya kutoshiriki katika masuala ya kisiasa na kudumisha uhuru wa michezo.
1. Historia ya Tukio
Mnamo 12 Agosti 2025, katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwenye shughuli ya kuchangisha fedha iliyoandaliwa na chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), Klabu ya Young African Sports Club ilitoa mchango wa shilingi milioni 100 za Kitanzania (100,000,000/=) kwa chama hicho.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na mgombea urais wa CCM na mgombea mwenza wake. Rais wa klabu, Mhandisi Herse Said Ali, alikuwepo, alishiriki kikamilifu na aliwakilisha klabu katika kutoa mchango huo.
Kitendo hiki—cha klabu kujihusisha moja kwa moja na chama cha siasa wakati wa kampeni za uchaguzi—ni hatua ya wazi ya kisiasa inayokwenda kinyume na matakwa ya FIFA.
2. Ukiukaji wa Kanuni na Misingi ya FIFA
Vitendo hivi vinakiuka kanuni kadhaa za uongozi wa FIFA:
a) Katiba ya FIFA
Ibara ya 4(2): FIFA hubaki bila upande katika masuala ya dini na siasa; hali hii inawahusu pia wanachama wake, ligi, klabu na viongozi.
Ibara ya 14(1)(d) & (i): Mashirikisho ya wanachama lazima yahakikishe wanachama wao (ikiwemo klabu) wanazingatia katiba ya FIFA na kusimamia mambo yao kwa uhuru, bila ushawishi wa kisiasa au wa mtu wa tatu.
Ibara ya 19: Uhuru wa mashirikisho ya wanachama na wanachama wao dhidi ya ushawishi wa kisiasa au wa mtu wa tatu.
Ibara ya 20: Hali ya klabu; klabu lazima ziwe huru katika kufanya maamuzi bila shinikizo la nje.
b) Kanuni za Maadili za FIFA (2023)
Ibara ya 15 – Wajibu wa kutokuwa na upande: Viongozi lazima wabaki wasioegemea upande wa kisiasa wanapotekeleza majukumu yao.
Ibara ya 20 – Migongano ya maslahi: Inakataza kuchukua hatua pale ambapo maslahi ya kisiasa au binafsi yanaweza kuathiri vibaya majukumu; inahitaji kueleza na kujiondoa.
Masharti haya kwa pamoja yanakataza aina yoyote ya kuunga mkono kisiasa, kushirikiana au kutoa msaada wa kifedha na klabu. Vitendo vya Yanga vinapingana moja kwa moja na wajibu wa FIFA wa kulinda soka dhidi ya udhibiti wa kisiasa.
3. Athari kwa Soka la Tanzania
Young African Sports Club ni moja ya taasisi kubwa zaidi za soka nchini Tanzania, yenye wanachama, wachezaji na mashabiki kutoka kila upande wa kisiasa. Kwa kuchukua upande wazi wa chama cha siasa:
a) Klabu inawatenga baadhi ya wanachama na mashabiki wake.
b) Inaharibu imani ya umma kuhusu kutokuwa upande wowote wa klabu.
c) Inadhoofisha roho ya mshikamano wa mchezo wa soka.
Viongozi wa Yanga pia hapo awali wameonyesha wazi msimamo wa kisiasa wa kuunga mkono CCM, hali inayoonyesha mtindo wa mwenendo unaopingana na kanuni za FIFA. Tukio hili la sasa mchango wa kifedha, wa moja kwa moja na wa hadhi ya juu kwa chama cha kisiasa ndilo ukiukaji mkubwa zaidi hadi sasa.
4. Hatua Zinazohitajika
Kwa kuzingatia yaliyotajwa hapo juu, tunaiomba FIFA:
a) Kufungua uchunguzi wa haraka kuhusu shughuli na uhusiano wa kisiasa wa Klabu ya Young African Sports Club.
b) Kuweka hatua za kinidhamu dhidi ya klabu na viongozi husika, kwa mujibu wa kanuni za FIFA, ikiwemo Kanuni ya Nidhamu ya FIFA.
c) Kuthibitisha upya dhamira ya FIFA ya kulinda soka nchini Tanzania dhidi ya ushawishi wa kisiasa, ili kudumisha uhuru, heshima na mshikamano wake.
5. Hitimisho
Uadilifu na hadhi ya FIFA kama mlezi wa uhuru wa mchezo wa soka hutegemea kuhakikisha kwamba klabu zote—bila kujali historia, umaarufu au mafanikio yao zinasimamiwa kwa viwango sawa.
Tunaiomba Kamati ya Maadili ichukue hatua za haraka na thabiti kushughulikia ukiukaji huu mkubwa, na kutuma ujumbe wazi kwamba siasa hazina nafasi katika soka.
Tupo tayari kutoa taarifa au vielelezo zaidi vinavyohitajika.
Wenu kwa heshima,
John Kitoka
Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Diaspora
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
==============
CHADEMA
SIA House No. 31, Daima Street, Mikocheni
P.O. Box 31191, Dar es Salaam, Tanzania
Phone: (022) 2668866 | Fax: (022) 2668866
E-mail: [email protected] | Website: www.chadema.or.tz
15th August 2025
FIFA Ethics Committee
Fédération Internationale de Football Association (FIFA)
FIFA-Strasse 20
P.O. Box 8044
Zurich, Switzerland
RE: FORMAL COMPLAINT AGAINST YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB FOR INVOLVEMENT IN PARTY POLITICS – TANZANIA
Dear Members of the FIFA Ethics Committee,
We, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), respectfully submit this formal complaint and request for urgent intervention regarding the conduct of Young African Sports Club (Yanga) of Tanzania, whose recent actions constitute a direct breach of FIFA’s fundamental principles of political neutrality and independence.
1. Factual Background
On 12th August 2025, at Mlimani City, Dar es Salaam, during a political fundraising event organized by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM), Young African Sports Club made a financial contribution of Tanzanian Shillings 100,000,000/= to the party.
The event was attended by the CCM presidential candidate and her running mate. The club’s President, Eng. Herse Said Ali, was present, actively participated in the proceedings, and represented the club in making the contribution.
This action—directly linking the club to a political party’s national leadership during an election campaign—constitutes an explicit act of political alignment by the club.
2. Violations of FIFA Rules and Principles
This conduct contravenes multiple provisions of FIFA’s governing framework:
a) FIFA Statutes
Article 4(2): FIFA remains neutral in matters of politics and religion; this neutrality extends to member associations, leagues, clubs, and officials.
Article 14(1)(d) & (i): Member Associations must ensure that their members (including clubs) comply with FIFA Statutes and manage their affairs independently, free from political or third-party influence.
Article 19: Independence of member associations and their members from third-party (including political) interference.
Article 20: Status of clubs; clubs must make decisions independently of any external body.
b) FIFA Code of Ethics (2023)
Article 15 – Duty of neutrality: Officials must remain politically neutral when performing their duties.
Article 20 – Conflicts of interest: Prohibits acting where political or personal interests could improperly influence duties; requires disclosure and recusal.
These provisions collectively prohibit any form of political endorsement, affiliation, or financial support by clubs. Yanga’s actions strike at the core of FIFA’s mandate to keep football free from political manipulation.
3. Impact on Tanzanian Football
Young African Sports Club is one of the most prominent football institutions in Tanzania, with members, players, and supporters from across the political spectrum. By openly taking sides with a political party:
a) The club alienates sections of its own membership and supporter base.
b) It undermines public trust in the club’s neutrality.
c) It erodes the unifying spirit of the game.
Furthermore, the leadership of Yanga has previously displayed overt political support for CCM, demonstrating a pattern of behavior inconsistent with FIFA’s rules. This latest incident—a direct, high-profile financial contribution to a political party—is the most blatant violation to date.
4. Requested Action
In light of the above, we respectfully request that FIFA:
a) Open an immediate investigation into Young African Sports Club’s political activities and affiliations.
b) Impose appropriate disciplinary measures against the club and the responsible officials, in accordance with FIFA regulations, including the FIFA Disciplinary Code.
c) Reaffirm FIFA’s commitment to safeguarding football in Tanzania from political interference and influence, thereby preserving its independence, integrity, and unity.
5. Conclusion
FIFA’s credibility as the guardian of football’s independence depends on ensuring that all clubs—regardless of their history, popularity, or achievements—are held to the same standard.
We therefore urge the Ethics Committee to act promptly and decisively to address this serious breach, sending a clear message that political manipulation has no place in football.
We remain at your disposal to provide any further information or evidence required.
Yours faithfully,
John Kitoka
Director of Foreign and Diaspora Affairs

Ukichukiwa na Wapumbavu uko salama. Yanga wamefanya upumbavu, ni mpumbavu pekee atayewachukia CDM kwa hiki walichofanya.Let's say Yanga wafungiwe kwa makosa waliyofanya lakini pia ionekane kwamba CHADEMA walifanya Usnitch hivyo kujitafutia uadui kotaka Timu mojawapo...., Is that a good political Move ?
Nadhani hivi vyama vyote viachene kabisa na Timu zetu kama ni Kero basi kama Mashabiki na raia ndio wapeleke malalamiko....
15 Agosti 2025

Kuna kusoma kuelewa na kusoma kuwahi kucomment.Sasa CHADEMA wanaishtaki CCM au Yanga?