Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Ujinga ni kudhani kikundi cha watu wajinga ndio solution ya changamoto za Tanzania.

You must be very stupid, kama unaamini Lissu na wapuuzi wenzake ndio mbadala.

Very very very stupid.
 
FIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
Kuna barua nyingine zimeandikwa na watu binafsi nimeziona tangu juzi.
 
FIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!

Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana.

Kwa hiyo kwa reasoning yako hiyo.
Tuchukulie mfano mwepesi.
Polisi Tanzania hawataki Raia Mwema ajishughulishe na masuala ya wizi.
Sasa wewe Raia Mwema umeshuhudia tukio la wizi na kwa kuwa halijakufurahisha ukaamua kwenda kuriripoti Polisi.
Sasa kwa reasoning yako hiyo ni kwamba Polisi hawatalifanyia kazi lalamiko au hiyo ripoti yako kwa kuwa na wewe kwa kuripoti jambo hilo unakuwa na wewe umejihusisha na wizi.
Ila kwa kweli kuna watu vitu mnavyoandika vinaonyesha uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kwa ulichoandika sijakuelewa kabisa nakushauri uwe unasoma vitabu vya mada za reasoning and argumentation vitakusaidia kukuza uelewa wako.
Kiufupi umeandika pumba
 
Chuki nichukie, ila roho yangu niachie.
Chadema vibaya asinifikirie, mimi mtoto wa mwenzie.
Wala asinisumbikie, aniache nijilie,
Fifa asinishitakie, ili mimi yanga niumie
 
Kwahiyo chadema kabisa unaamin hapo awajaingilia mambo ya mpira?

Haha kweli Mbumbumbu abadiliki


Yaan Fifa isikilize kabisa chama cha kisiasa!?
Ni sawa na serikali (wanasiasa) kutuhumu viongozi wa dini kuchanganya dini na siasa; tena wakiwa kwenye matukio ya kidini!
 
Shida yenu CDM na wafuasi wake wa mitandaoni you don’t wryly from your stupidity.

Hizi ni moves za kijinga zinazoonyesha uwezo wetu mdogo wa namna pressure inavyotumika kwenye ‘geopolitics’ kusukuma agenda.

Mtakuja hapa kusifiana ujinga tu, whilst not understanding how stupid you look you to the institutions you think can help you,

Please stop this nonsense, it just make you look stupid, apparently you do not understand western politics.

Ndio sababu Lissu, yupo halipo msingi wake ni ignorance.

Acheni kujiongopea Lissu is not clever, not calculative or else he wouldn’t have been in his position.

Quit with this stupidity

Serikali aitomuachia Lissu kwa hivi vitisho uchwara, hata kama anaonea.

Ujinga wa wafuasi wa CDM to how things work is beyond me.

Just stupid
 
Yanga waifungie ni timu iliyojaa watu wajinga
FB_IMG_17553633895092331.jpg
 
Yanga waifungie ni timu iliyojaa watu wajinga View attachment 3443662
Hakuna kitu kibaya kama kujiongopea.

Mpaka sasa wawakalishi wa ubalozi wamezuia kitu gani?

Pamoja na uonevu wa wazi anaopitia Lissu.

You need to understand national interest za nchi zingine na Lissu sio cause ya ku-jeopardise that mission.

You are just shallow people mnaowapeleka watu kwenye matatizo.

Wazungu wanamjua Lissu kushinda wewe, ukiona wako kimya wanashamuona ni useless tu.

Busara ni serikali kumuachia harudi kwa mkewe, otherwise he is not harmful.

Zaidi ya watu kama nyie kujazana ujinga tu.
 
Hizi nchi za wazungu aziendeshwi na watu wajinga kama viongozi wa upinzani Tanzania.

Kuna factors luluki wanazingatia kabla ya kununua ugomvi wa local politics, lakini sio watu kuingilia mambo ya nchi zingine for the sake of it.

Lazima kwanza wapime indicators kibao, muhimu zaidi ni public support ya mtu anaetafuta backup yao kabla ya kununua ugomvi.

Vinginevyo kununua ugomvi na serikali husika bila ya kujua chances za ushindi huko ni kuhatarisha maslahi yao yaliyopo. Sio wapuuzi wa hivyo,

Quit with this nonsense ya kujazana ujinga na kujichoresha ujinga wenu duniani,
 
CHADEMA mna akili ndogo sana. Kwa hiyo mpinzani wenu sio CCM tena ni Yanga? Kwa hiyo kamati kuu yenu ikakaa chini na kuamua kuandika huo upuuzi kwenda FIFA? Inasikitisha sana. Hapo bado Lema hajakurupuka na kusema tuisusie Yanga.. CHADEMA hovyo kabisa.
 
Hakuna kitu kibaya kama kujiongopea.

Mpaka sasa wawakalishi wa ubalozi wamezuia kitu gani?

Pamoja na uonevu wa wazi anaopitia Lissu.

You need to understand national interest za nchi zingine na Lissu sio cause ya ku-jeopardise that mission.

You are just shallow people mnaowapeleka watu kwenye matatizo.

Wazungu wanamjua Lissu kushinda wewe, ukiona wako kimya wanashamuona ni useless tu.

Busara ni serikali kumuachia harudi kwa mkewe, otherwise he is not harmful.

Zaidi ya watu kama nyie kujazana ujinga tu.
Sema mkuu unaandika Sana inaonekana umepata hofu kubwa moyoni
 
Sema mkuu unaandika Sana inaonekana umepata hofu kubwa moyoni
Hofu ya nini naeleza tu how the world works.

Tofauti na ujinga wa fikra za CDM, yaani ni watu wanaoruka-ruka tu kama headless chickens

There are rules to how things work in the world, kila nchi ina maslahi yao.

☝️That is supposed to be general knowledge kwa watu wanaofuatilia na kusoma siasa za kimataifa.

I can guarantee you 97% ya wachangiaji wa sauti ya watanzania/watanganyika ni mataahira ambao hata siasa za nchi zao wanazoishi hawazijui.

Usitishike na degree za ulaya, 10% ni vipanga wa ukweli, wengine tunapewa hizo qualification kujaza nafasi za kazi tu.
 
Hii imekaa vizuri

Kuna nabii mmoja (Steven Jacob) wa Arusha, alitoa unabii wa kuionya Yanga kuwa msimu huu itafanya vibaya ktk ligi kuu na kimataifa. Na kwamba, wasipojiangalia wanaweza kushuka daraja kabisa

Wengi waliubeza unabii huu na kushangaa..

Lakini hatua za kuelekea huko, Rais wa Yanga SC Bwana Hersi kazianzisha yeye mwenyewe kwa kufuata hadaa na udanganyifu wa CCM

Wakikwepa na kupona kwenye hili, washukuru Mungu sana na wajirekebishe sana na kuepuka kujihusisha na siasa za kiovu za CCM!
Huyo Nabii mpuuzi sana.
 
Kwahiyo chadema kabisa unaamin hapo awajaingilia mambo ya mpira?

Haha kweli Mbumbumbu abadiliki


Yaan Fifa isikilize kabisa chama cha kisiasa!?
Wewe ndiyo mbumbumbu kwa kujidai kuwasemea FIFA wakati hawajakutuma uwasemee, Acha chadema wafanye kazi yao utaona matokeo tu
 
Hofu ya naeleza tu how the world works.

Tofauti na ujinga wa fikra za CDM
Ujinga unao wewe kwenda kuchangia ibilisi wa ccm wakati unajua wanawafanyia vitendea haramu vya kishetani Chadema, acha Dunia ijue kuwa ccm ni chama cha kuwanyanyasa kuwaonea kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo chadema
 
Back
Top Bottom