Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Yanga kuchangia chama cha Siasa ni club kujiingiza kwenye siasa tena kibaya unachangia chama ambacho kinawatesa kuwanyanyasa chadema kisha utake chadema ikae kimya
 
Kwahiyo chadema kabisa unaamin hapo awajaingilia mambo ya mpira?

Yaan Fifa isikilize kabisa chama cha kisiasa!?
CHADEMA kuingilia mpira hakuzuii fact kwamba Yanga imeingilia siasa. Kwa hiyo FIFA watachunguza kinachowahusu 😃
 
Wewe utakuwa unavuta Bangi mbona mzito kuelewa chadema pesa za GSM hawana mda nazo wao wanaongelea milion 100 iliyotamkwa na mwenyekiti wa yanga, inaelekea wewe ni mnufaika wa mambo ya hovyo huko ccm kwenu ndiyo maana umejitoa fahamu zote hutaki kujua kuwa lengo la chadema ni kutaka Dunia ya soka ijue udhaifu wa mwenyekiti wa yanga kupitia FIFA na pia wajue ccm inawatesa chadema ndiyo maana hawataki club ya soka ichangie chama ambacho kinawatesa kuwachukulia kesi chadema haijalishi FIFA watajibu nini cha muhimu ni msg sent tu, tambua kupitia michango ulimwengu wa soka utajua maovu manyanyaso ya ibilisi wa ccm kwa chadema
Hizo ni akili za mtu wa ‘desperate measure, requiring desperate response’.

FIFA hawafanyi mambo simply hivyo lazima kuna maelezo ya kina on rules za kwenye barua.

Moreover hadi CDM kukimbilia michango inayopokea CCM huko ni kuishiwa.

Kwa sababu kama dhambi tu, CCM wana nyingi za kuitoa madarakani zaidi ya michango.

Iwapo CDM kingekuwa chama cha maana michango ya CCM ni least of their problem, my god CCM hata kusimamia huduma ya afya hawawezi.

Good morning.

Kwetu kumekucha.
 
Eng.Hersi yeye kama ni kada wa CCM lakini lazima ajue mipaka yake sio kila mpenzi na mwanachama wa yanga ni mfuasi wa CCM...kwhy ajitahidi sana atofautishe mpira na siasa kabla sisi wana yanga wenzie hatujamvunjia heshima yake tuliyompa
 
Hiyo barua ya CHADEMA aliyeandika ni mtu mdogo sana hana uwezo wa kuandika barua kwenda taasisi nyingine kimataifa alitakiwa Heche ndio aandike sio mkurugenzi
 
Tofautisha CCM na Yanga Club

CCM ni taasisi inayojitegemea na Yanga ni taasisi inayojitegemea

Ukiwa na hasira ubongo unatakiwa kutulia
CHADEMA kama chama cha siasa hakikutakiwa kuingilia mambo ya soka kushtaki Yanga FIFA

CCM haijaingilia mambo ya Yanga kama chama cha siasa.Hakuna ushahidi wowote CCM kama chama kuingilia mambo ya Yanga.8la CHADEMA ushahidi upo wa CHADEMA kama chama cha siasa kuingilia mambo ya Soka kwa kuandika barua FIFA kushtaki Yanga
Aliyewatuma yanga kwenda kuchangia ccm ni wewe? Kwani hukujua hizo tofauti mapema uwakataze? ccm kupokea mchanga wa yanga imeingilia yanga na Soka na chadema kwenda FIFA wamekataa huo ujinga wa club ya Soka kuchangia ccm chama cha kuwatesa kuwanyanyasa kuwabambikia kesi za uongo chadema, Dawa ya ujinga wa ccm ndiyo hizi tu maana ccm wanafanya mambo ya hovyo wakizani wapo kisiwani hawatajulikana kote mpaka FIFA, chadema haijaingilia mambo ya soka bali ccm ndiyo imeingilia soka kwa kupokea pesa toka yanga na sasa chadema imekataa huo ujinga wa ccm kupitia barua kwenda FIFA
 
Ujumbe wa chadema kwa FIFA ni kutaka wajue kuwa ccm ni chama cha watesi waonevu hakipaswi kuchangiwa na club ya soka yenye wapenzi mbalimbali ambao si wanachama wa ccm
 
Timu yangu ila kwa hili ikfungiwa nitapa utulivu wa nafsi, yani Engineer alikuwa anabembeleza kiaina ili akateuliwe kura za maoni Kongwa, mshenzi kabisa.
 
CHADEMA kuingilia mpira hakuzuii fact kwamba Yanga imeingilia siasa. Kwa hiyo FIFA watachunguza kinachowahusu 😃
Pia chadema imeisaidia yanga kujitambua next time hawatafanya huo ujinga kuwachangia watesi wa Lisu
 
Hiyo barua ya CHADEMA aliyeandika ni mtu mdogo sana hana uwezo wa kuandika barua kwenda taasisi nyingine kimataifa alitakiwa Heche ndio aandike sio mkurugenzi
Cha muhimu ni msg sent tu angalau ulimwenguni kote wajue kuna chama kinaitwa ccm ni chama cha watesi waonevu kwa wakosoaji wa matendo yao haramu ya kishetani, sasa FIFA watajua kuna TFF na kuna yanga na rafiki yake mtesi ccm
 
FIFA itawajua chadema na pia itajua ccm ni watesi waonevu hivyo ulimwengu wa soka unalo la kujifunza hapo
 
Hiyo barua ya CHADEMA aliyeandika ni mtu mdogo sana hana uwezo wa kuandika barua kwenda taasisi nyingine kimataifa alitakiwa Heche ndio aandike sio mkurugenzi
Hata humu JF tunaoanzisha nyuzi mbalimbali ni watu wadogo tu, lakini wakuu wanatikisika na kuzifanyia uchunguzi taarifa tulizowapa
 
Sauti zimepazwa na wengi, mpaka sasa FIFA wana taarifa yote. Move ya CHADEMA ni kukazia tu nut
FIFA HAIFANYII kazi kelele, bali inafanyia kazi malalamiko Rasmi yaliyotolewa na mwachama wake ambao ni vyama vya soka vya nchi na matawi ya vyama hivyo kwa maana ya vilabu, vyama vya waamuzi, makocha na madaktari wa soka.
 
Shida yenu CDM na wafuasi wake wa mitandaoni you don’t the wryly from your stupidity.

Hizi ni moves za kijinga zinazoonyesha uwezo wetu mdogo wa namna pressure inavyotumika kwenye ‘geopolitics’ kusukuma agenda.

Mtakuja hapa kusifiana ujinga tu, whilst not understanding how stupid you look you to the institutions you think can help you,

Please stop this nonsense, it just make you look stupid, apparently you do not understand western politics.

Ndio sababu Lissu, yupo halipo msingi wake ni ignorance.

Acheni kujiongopea Lissu is not clever, not calculative or else he wouldn’t have been in his position.

Quit with this stupidity

Serikali aitomuachia Lissu kwa hivi vitisho uchwara, hata kama anaonea.

Ujinga wa wafuasi wa CDM to how things work is beyond me.

Just stupid
Maelezo mengi yasiyo na msaada ni sahihi timu ya mpira kuchangia chama cha siasa?Impurity lazima ichukiwe kwa kila namna hata kama hakuna hatua zitakazo chukuliwa ila lazima muoneshe kuchukizwa na uvunjifu wabtaratibu hadi hapo tutakapofikia kuheshemu sheria na taratibu zilizowekwa regardless upo kwenye power ama laaa
 
Back
Top Bottom