codes
JF-Expert Member
- Jan 13, 2015
- 360
- 549
Mapimbi haya hayaeleweki hata yanataka nini, yenyewe ni kudandia dandi tu issues😁Point ya Chadema ni nini hasa?
FIFA haijihusishi na taasisi zilizofungiwa
Mapimbi haya hayaeleweki hata yanataka nini, yenyewe ni kudandia dandi tu issues😁Point ya Chadema ni nini hasa?
FIFA haijihusishi na taasisi zilizofungiwa
SawaFIFA HAIFANYII kazi kelele, bali inafanyia kazi malalamiko Rasmi yaliyotolewa na mwachama wake ambao ni vyama vya soka vya nchi na matawi ya vyama hivyo kwa maana ya vilabu, vyama vya waamuzi, makocha na madaktari wa soka.
Maelfu uliwahesabu?..nyi akili hamna,mnadandia tu mambo yanayotrendWale maelfu waliochoma jezi tutakuwa nao
Sawa PlatinFIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
Mimi ni FIFA Technical Adviser Kwa Mtogole Side Branch! Ahahahahaha!!Sawa Platin
Chadema hanawa haja na chochote wao lengo ni kutaka FIFA wajue club ya soka imechangia chama cha ccm chama watesi waonevu wa kuwabambikia kesi za uongo chadema hilo linatoshaFIFA HAIFANYII kazi kelele, bali inafanyia kazi malalamiko Rasmi yaliyotolewa na mwachama wake ambao ni vyama vya soka vya nchi na matawi ya vyama hivyo kwa maana ya vilabu, vyama vya waamuzi, makocha na madaktari wa soka.
Is there any "Violation of human rights" kwa kitendo cha Yanga?Chadema hanawa haja na chochote wao lengo ni kutaka FIFA wajue club ya soka imechangia chama cha ccm chama watesi waonevu wa kuwabambikia kesi za uongo chadema hilo linatosha
Haya malalamiko yamepelekwa TFF?Chadema hanawa haja na chochote wao lengo ni kutaka FIFA wajue club ya soka imechangia chama cha ccm chama watesi waonevu wa kuwabambikia kesi za uongo chadema hilo linatosha
Wewe mbona Akili huna anawezaje kujua Asiye na Akili? Club ya soka kuchangia chama cha siasa ni Akili? FIFA ni makao makuu ya Soka wanapokea barua zote haijalishi zinatokea wapi na utambue chadema lengo ni kuujulisha ulimwengu wa Soka kuwa ccm ni chama watesi waonevu hawapaswi kupokea mchango toka club ya SokaYani chama cha siasa kimeandikia barua fifa,
Kweli hata uku chadema wenye akili ni wawili tu kama kule Utopoloni!
TunatikiWeka tuweke
No reform No Election
TunatikiWewe mbona Akili huna anawezaje kujua Asiye na Akili? Club ya soka kuchangia chama cha siasa ni Akili? FIFA ni makao makuu ya Soka wanapokea barua zote haijalishi zinatokea wapi na utambue chadema lengo ni kuujulisha ulimwengu wa Soka kuwa ccm ni chama watesi waonevu hawapaswi kupokea mchango toka club ya Soka
TFF ni kama chauma ubwabwa ni mchepukaji wa ibilisi wa ccmHaya malalamiko yamepelekwa TFF?
Sasa kwa akili zenu huko chadema mnaona hy barua itafanyiwa kazi wakati mmeruka utaratibu?TFF ni kama chauma ubwabwa ni mchepukaji wa ibilisi wa ccm
Unachangia nini kwenye Yanga? Hujawai kutoa hata mia mbovu alafu unataka kuwapangia Yanga cha kufanyaYanga niliipenda toka nkiwa mdogo ila kwa kujiweka sehemu ya CCM nmechoma majez yote...Nashaur Eng Ersi ajiuzulu kwa maslahi ya mpira wa TANZANIA