Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Na huo ndio msimamo wangu. HAWANA.
 
Kabisa Mkuu. CDM wamechemka. Walitakiwa wawashawishi wadau wa soka ndio waandike hiyo complaint FIFA na sio wao. Walichofanya no yale Yale.
Cdm hawajawazui hao wadau wa siasa kuandika barua. Wao ni chama cha siasa wana wajibu wa kuhakikisha kuwa soka halichanganywi na siasa. Na sio wajibu wa cdm kuwashawishi hao wadau wa soka, bali ni wajibu wao kuhakikisha sheria zinafuatwa na vyama vyote vya siasa.
 
Ngoja tuone maamzi ya FIFA lakini ata CHADEMA nao wanamakosa kuingiria mambo ya mpira
 
Kweli kabisa
 
Hapo patamu.
 
Point ya Chadema ni nini hasa?

FIFA haijihusishi na taasisi zilizofungiwa
Huwezi kufanya siasa za aina moja...lazima ubadilike kulingana na opponent wako.

CCM ndiye muasisi wa siasa hizi.

1.CCM ndiye anayewaalika viongozi wa vilabu hivi kuhudhuria mikutano yao Dodoma na kuwapa platforms watoe salamu kwa wajumbe kwa niaba ya vilabu vyao.
2. CCM ndiye hutoa fedha za motisha kwa vilabu hivi kwa mwamvuli wa goli la mama....hakuna timu iliyowaomba wamejipeleka wao.

3. CCM ndiye kinara wa kupeleka mabango na fulana zenye picha ya Rais ambaye ni mgombea wa CCM.

4. Siku ya Yanga day na Simba..Viongozi wa CCM walitengeneza mazingira ya kumtafutia Rais Samia platforms za kuongea na mashabiki kwa njia ya simu.

Huku Wakijua fika kuwa Rais hana mvuto wa kupata audience ya watu elfu 60+ walio ktk mkusanyiko wa pamoja tena kwa kujilipia.....hata angetumia malori kusomba watu.

5. Simba na Yanga hazikuifata CCM, ila ni CCM ndiyo inayojisogeza kwa Simba na Yanga ili kupata mileage ya kusikilizwa.

Mbona siwaoni CCM kwenye Ndondi, Riadha, au huko hapawahusu.

Hivi hata wewe kweli unaweza kuvutiwa nini kumsikiliza mtu kama Nchimbi kweli....kwanza lazima usingizi ukupitie.
Na ni matumizi ya ovyo ya MB

Ni afadhali nisikilize hata ucheshi wa Wassira kuliko Samia au Nchimbi.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250818_141214_Chrome.jpg
    411.5 KB · Views: 26
  • Screenshot_20250818_141911_Chrome.jpg
    330.7 KB · Views: 27
  • Screenshot_20250818_141805_Chrome.jpg
    389.6 KB · Views: 28
mpumbavu mwenyewe na mama yako kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…