Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Bora Yanga wangeisaidia Chauma
 
Let's say Yanga wafungiwe kwa makosa waliyofanya lakini pia ionekane kwamba CHADEMA walifanya Usnitch hivyo kujitafutia uadui kotaka Timu mojawapo...., Is that a good political Move ?

Nadhani hivi vyama vyote viachene kabisa na Timu zetu kama ni Kero basi kama Mashabiki na raia ndio wapeleke malalamiko....
 
Hapo Chadema wangekaa kimya?
Ishu ni CCM na miongozo, kanuni na taratibu za FIFA zinakataza wanachama wake kujihusisha na mambo ya Siasa na dini, wacha Yanga wakanyagwe tu. Ikiwezekana wafutwe uanachama na wasitambulike na FIFA's
 
Hii imekaa vizuri

Kuna nabii mmoja (Steven Jacob) wa Arusha, alitoa unabii wa kuionya Yanga kuwa msimu huu itafanya vibaya ktk ligi kuu na kimataifa. Na kwamba, wasipojiangalia wanaweza kushuka daraja kabisa

Wengi waliubeza unabii huu na kushangaa..

Lakini hatua za kuelekea huko, Rais wa Yanga SC Bwana Hersi kazianzisha yeye mwenyewe kwa kufuata hadaa na udanganyifu wa CCM

Wakikwepa na kupona kwenye hili, washukuru Mungu sana na wajirekebishe sana na kuepuka kujihusisha na siasa za kiovu za CCM!
 
Ishu ni CCM na miongozo, kanuni na taratibu za FIFA zinakataza wanachama wake kujihusisha na mambo ya Siasa na dini, wacha Yanga wakanyagwe tu. Ikiwezekana wafutwe uanachama na wasitambulike na FIFA's
Hujanielewa. Inawezekana ni kweli Yanga wamekosea, lakini inawezekana hata Chadema wamekosea wakifikiri wanaweza kupeleka malalamiko ya Soka kwa FIFA na wakasikilizwa.
 
Taja kanuni ipi inasema vyama vya siasa visilalamike au kutuhumiana fifa
 
Sauti zimepazwa na wengi, mpaka sasa FIFA wana taarifa yote. Move ya CHADEMA ni kukazia tu nut
 
What a fatal mistake. Hiki walichofanya kinaweza kufanywa na wanaharakati na si chama cha siasa. CDM wangeacha jambo hili likafanywa na wanaharakati. Kosa kubwa la kiufundi.
Hujui lakini hujui kuwa hujui...

CHADEMA were very clear na mapambano yao ya kisiasa kupitia movement ya NO REFORMS NO ELECTION, waliposema kwamba, they will use all available platforms to fight injustices..

Hii ni moja ya political mistake iliyofanywa na CCM kuihusisha Yanga S.C ktk uhuni na uchafu wao. CHADEMA wame - capitalize perfectly...

CHADEMA ni chama cha kutetea wananchi. Na miongoni mwa wananchi hawa ni wanachama wa Yanga SC, wengi wao wakiwa ni wana - CHADEMA akiwemo mwamba Tundu Lissu na mimi...

Kwa kitendo hiki, hatuna huruma na Yanga SC tena. They must go down na mshirika wake CCM...!!!
 
Akili mingi.
 
Chadema kumbe hawana akili

Swali fikirishi kwanini huwa mnawaalika wanasiasa kama wageni rasmi kwenye matamasha yenu ya michezo na, (ndondo cup)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…