Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Yes ili chadema wangeacha lipite
 
Hili Jambo Lisiishe Kienyeji, ni vema wenye mpira wao wakajua ili watupe Ufafanuzi..!

Ni halali timu ya Soka kutoa pesa kwa Chama fulani zitumike kwenye Kampeni za Uchaguzi dhidi ya vyama vingine ?
Je mnauthibitisho hela zilitoka kwenye mfuko wa yanga pia hela za misaada kabla ya mechi za yanga huwa mnafuatilia zinatokanwapi?
 
afu hili sakata la yanga kuchangia milion 100 mbona redio na wachambuzi wapo kimya sana😂 stor zote zipo mitandaon
 
Hata chama cha siasa ama kiongozi/viongozi wa kisiasa wanaruhusiwa kumiliki Vilabu vya mpira

Muanze kuwapiga marufuku (wanasiasa), na kujipiga marufuku kudhamini ndondo cup
 
What a fatal mistake. Hiki walichofanya kinaweza kufanywa na wanaharakati na si chama cha siasa. CDM wangeacha jambo hili likafanywa na wanaharakati. Kosa kubwa la kiufundi.
Chadema are failing to solve burning issues in their political party busy with simple and straight forward matters

Is chadema a pressure group
 
Huyo Hersi kwa kuichangia ccm kwa jina la Yanga hajaifanyia usnitch chadema?

Alaumiwe Hersi ktk hili
 
Huyo Hersi kwa kuichangia ccm kwa jina la Yanga hajaifanyia usnitch chadema?

Alaumiwe Hersi ktk hili
Unalinganisha mtu (Hersi) na Taasisi (Chadema) ?!!! Na nani kasema Hersi Ashukuliwe / Apongezwe ?
 
Kwahiyo chadema kabisa unaamin hapo awajaingilia mambo ya mpira?

Haha kweli Mbumbumbu abadiliki


Yaan Fifa isikilize kabisa chama cha kisiasa!?
Hujielewi wewe! FIFA inachohitaji ni taarifa bila ya kujali taarifa imetolewa na nani, kisha inafanya uchunguzi wake kisha kuchukua hatua kwa kufuata kanuni zake.
 
Hapa CDM kama kweli wameandika wao wamezingua sana. Watatengeneza chuki zaidi kwa chama chao kwa baadhi ya mashabiki wa Yanga.

Linapokuja suala la usimba na uyanga tunajuana sisi. Natamani isiwe kweli, ama wakanushe hii habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…