Barua ya Diamond ! Duh noma!

Barua ya Diamond ! Duh noma!

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
diamond.jpg

team diamond ya kweli haya ?
 
Hiyo barua ukiikuza ni kama vile imescaniwa alafu ikafanyiwa editing kwenye kwa adobe Photoshop & Adobe Illustrator…………… ila mmmhhhh ayah gaga ngoja tuone
 
Last edited by a moderator:
jamaa kazoe mapenzi tu kila kitu, hizi barua za hivi nazo zinaanzaga na 'dear, kweli!!! basi mwalimu wangu alinidanganya kumbe!!

halafu na wale waliokuwa wanabwabwaja kuwa alipewa kibali na JWTZ walikuwa na maana gani????
 
Hiyo barua ukiikuza ni kama vile imescaniwa alafu ikafanyiwa editing kwenye kwa adobe Photoshop & Adobe Illustrator…………… ila mmmhhhh ayah gaga ngoja tuone

na mimi nahisi hivyo, manake hayo maneno na mpangilio mbona siyo kabisa, havilingani na hadhi yake
 
Ha ha ha haa kwa akili hii ndo matumbo amlinganishe huyo kapuku na waliokwenda shule??

hivi kwenye hiyo kampuni hakuna wasomi wakuiendesha mpaka wanafanya vituko vya namna hii???

Duuh nimecheka sana kama kitu very simple kama business letter inawashinda wataweza mengine?

Hivi JKT ndio JWTZ??

Ndio maaana domo ana mambo ya shombo sana coz akili na exposure yake ni very low!!!!!!

cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Ujinga mtupu sidhani kama imeandikwa na Diamond au WCB maana ina ujinga mwingi na haileweki kabisa Mara WCB Mara Diamond! Haileweki anaye andika ni WCB au Diamond ...naona mchanganyiko tuuu!

Yani hiyo kampuni au Diamond hawajui tofauti ya JKT na JWTZ? Hii barua kama ni ya kweli haiwezi kupokelewa kabisa na makosa makubwa kama hayo!

Sidhani kama hii barua ni ya kweli! Pengine imetengenezwa tuu!
 
na mimi nahisi hivyo, manake hayo maneno na mpangilio mbona siyo kabisa, havilingani na hadhi yake

Kwingine kiswahili hiyo dear imetoka wapi aisee ni shiiiiiider halafu imekosewa maneno hadi jina lake eti kicha badala ya kichwa labda mwandishi alikua frustrated
 
lugha ya kiswahili unadumbukiza neno "dear". Mahakama ndio chombo pekee kinachotoa haki. Hii barua ni ushahidi tosha mahakamani.
 
Jeshi la kujenga Taifa ndo JWTZ??? sidhani kama atapata msamaha!!!

Ni kichekesho! Ni sawa na kuomba msamaha jeshi la Polisi halafu kwenye heading ya barua ukaweka jeshi la zimamoto. Kwa maana yote yako chini ya Wizara ya Mambo ya ndani lakini ni vitengo vinavyojitegemea!
 
kwa watu wazoefu ambao wanatumia adobe_Photoshop & adobe_Illustrator au PAINt kwenye Editing basi watatuambia kama hii barua iko wasa, maana ukiikuza unaona utofaut kabisa wa rangi ya karatasi mara mwingine njano na mithiri kama sahh imekopiwa mahala then ikaja kuwekwa tu apo yaani ni shiidaaaaaaaaa………!! Embu tuache chuki za kijinga jaman, wala hatufaidiki kwa upuuz kama huo wa kuwachafua wenzetu cos leo WCB kesho utamchafua hata rafik yako…
 
Last edited by a moderator:
Aiseeh pole sana diamond
binafsi mi namuonea huruma kwa kweli
as human being japo simkubali kimziki
 
The united repblic of tz, hapo hapo tena Kiswahili. Jina Naseeb Abdallah. Anaejieleza ni mtu binafsi ila barua imeandikwa na WCB hiyo kampuni haina hata fom4 secretary au? Huu ujinga sio kweli hii
 
ndio ni kweli, wewe ulitakaje?? aoneshe jeuri?? hakufunzwa hivyo.

Hebu niambie kama ni kweli hii barua imeandikwa na Diamond au WCB?

Inakwenda JKT au JWTZ?

Unaamini kweli hii barua imendikwa na watu au mtu mwenye meneja au uongozi?

Samahani lakini!
 
Back
Top Bottom