Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,122
Wasanii wetu wanatia aibu,baada ya kutumia muda mwingi kujifunza vitu vya msingi katika maisha yao.Wao umaarufu na ufuska ndio kipaumbele katika maisha yao.Sasa hii barua sijui kaandika Babu Tale au Domo mwenyewe?
Ukiondoa makosa ya kiuandishi hata format yenyewe ya official letter ni ya hovyo.Anuani zote zipo upande mmoja (kushoto),WCB haina logo wala headed paper.Haya ni matusi kwa mara nyengine kwa jeshi letu.Diamond rudi shule kwani elimu haina mwisho.