Barua ya Diamond ! Duh noma!

Barua ya Diamond ! Duh noma!

meneja babu tale atakuambia hii barua inaongeza promo
 
Ha ha ha haa kwa akili hii ndo matumbo amlinganishe huyo kapuku na waliokwenda shule??

hivi kwenye hiyo kampuni hakuna wasomi wakuiendesha mpaka wanafanya vituko vya namna hii???

Duuh nimecheka sana kama kitu very simple kama business letter inawashinda wataweza mengine?

Hivi JKT ndio JWTZ??

Ndio maaana domo ana mambo ya shombo sana coz akili na exposure yake ni very low!!!!!!

cc Matola
ni aibu wa wasafi classic kuwa na matozi kama wale halafu vichwa nazi
 
Hiyo barua imeandikwa na vichwa vitatu babu Tale,mkubwa Fella na Almasi mwenyewe.Anwani imeandikwa na Babu Tale,mwanzo wa barua Mkuu Fella, dhumuni na mwisho wa barua imeandikwa na Almasi mwenyewe.

Ha ha ha hao ndo vichwa na inaonyesha hawataki ushauri
 
Diamond hana meneja ana wapambe

kwa level alizofkia za kulipwA 20mils per show
i dont think he just cant afford to employ someone to be his manager
babu tale kazi yake nini sasa?
 
Hahahhaa mi naona km ni kweli kaandika diamond mwenyewe mi nampongeza kwa kukubali kuwa kafanya kosa, na dawa ya kosa ni kuomba msamaha kitu ambacho amekifanya na kukionesha ktk barua yake hiyo... Muhimu ni kuwa "msg sent" haijalishi nn wala nn.....😜
 
SasA wakimpeleka mahakaman si barua itakua ushahidi au?
EMT kwa msaada wa kisheria

Kitu cha kwanza ni ku-establish kosa alilotenda. Diamond kavunja sheria ipi kwa kuvaa yale mavazi? National Defense Act 1967 inasema kuwa

99.-(1) Every person who without lawful authority, the proof of which lies on him (a) wears a uniform of the Defence Forces or any other uniform that is so, similar to the uniform of any of the Defence Forces that it is likely to be mistaken therefor is guilty of an offence and is liable on conviction to a fine not exceeding five hundred shillings or to imprisonment for a term not exceeding three months or to both such fine and imprisonment.

Kama alivaa hayo mavazi bila kuhusiwa kisheria basi atakuwa amevunja hiyo sheria. Hata hivyo, hakuna sheria isiyokuwa na exception kwa sababu:

(2) Nothing in this section shall prohibit (b) the wearing of such uniforms or things as are mentioned in paragraphs (a) of subsection (1) of this section for purposes of a theatrical performance.

Kwa hiyo, suala hapa ni was Diamond performing an activity which could be regarded as "theatrical performance"? If the answer is yes, then he will fall within the exception and, hence, not liable. If not, he will not fall within the exception and, thus, liable.

But the crucial issue is what is a theatrical performance? Sheria husika haijatoa maana ya "theatrical performance".
 
Naomba unisome upya!

Nina cho maanisha kuwa haiwezekani management yote hile kuruhusu barua ya namna hii kupelekwa sehemu yeyote serious!

Barua hii haimgusi Diamond pekee bali ina gusa uongozi wake wote hata watu wake wa karibu!

Ndio maana nasema hii barua haijaandikwa kutoka kwa Diamond bali ni michezo tuu!

usemayo ni sawa kabisa
labda lengo ni kumchafua tu but in reality km ni kweli baas ana safari ndefu sana kufikia anapopataka
 
Bina hiyo barua hajaandika yeye hujui mambo ya mtandaoni weyeee

Umehakikisha vipi kwamba hajaandika yeye? Mambo ya mtandaoni nisiyoyajua yapi?

Binafsi sijashangaa kwakuwa yaliyoandikwa na format nzima ya barua haina tofauti yoyote na matendo yao ktk maisha binafsi....
 
Kitu cha kwanza ni ku-establish kosa alilotenda. Diamond kavunja sheria ipi kwa kuvaa yale mavazi? National Defense Act 1967 inasema kuwa

99.-(1) Every person who without lawful authority, the proof of which lies on him (a) wears a uniform of the Defence Forces or any other uniform that is so, similar to the uniform of any of the Defence Forces that it is likely to be mistaken therefor is guilty of an offence and is liable on conviction to a fine not exceeding five hundred shillings or to imprisonment for a term not exceeding three months or to both such fine and imprisonment.

Kama alivaa hayo mavazi bila kuhusiwa kisheria basi atakuwa amevunja hiyo sheria. Hata hivyo, hakuna sheria isiyokuwa na exception kwa sababu:

(2) Nothing in this section shall prohibit (b) the wearing of such uniforms or things as are mentioned in paragraphs (a) of subsection (1) of this section for purposes of a theatrical performance.

Kwa hiyo, suala hapa ni was Diamond performing an activity which could be regarded as "theatrical performance"? If the answer is yes, then he will fall within the exception and, hence, not liable. If not, he will not fall within the exception and, thus, liable.

But the crucial issue is what is a theatrical performance? Sheria husika haijatoa maana ya "theatrical performance".
kuna maofisa waliotangulia ni kama walikiri jamaa ana ruhusa,according na baadhi ya threads humu,tuchukulie iwe ni kweli hao maofisa wa mwanzoni wamesema ana ruhusa,halafu yeye kakiri,hapo sheria itamhusu diamond pekee?
 
Yaani "barua" hiyo inaonesha watu wanaompinga Diamond ni watu wa aina gani! Yaani mtu bmtu mzima bila aibu ama unaandika barua wewe mwenyewe ya hovyo hovyo halafu unasema imeandikwa na Diamond au unachukua barua kisha unafanya editing na kudanganya watu kwamba ndivyo ilivyoandikwa na Diamond! Hivi mnapata nini? Wenye akili timamu hapa wanapata uthibitsho kwamba mengi yanayosemwa kuhusu Diamond ni ya kutunga kama ilivyotungwa hii barua na ndio maana wote ambao nimewahi kuwaomba ushahidi hawajawahi kufanya hivyo...hii ni aibu...! Yaani mtu ashindwe hata kuandika jina lake.... eti Nseeb!

Anyway, let's assume kwamba imeandikwa na Diamond.... so what?
 
Hii ni barua ya ovyo sana kwenye tatizo serious. Bora tu angeomba msaada wa kuandikiwa barua kama anajua hana uwezo wa kuandika barua. Lakini kushindwa mambo madogo kama haya nako kunafanya watu wajue ukweli kuhusu wewe.
Ova
 
Hahahhaa mi naona km ni kweli kaandika diamond mwenyewe mi nampongeza kwa kukubali kuwa kafanya kosa, na dawa ya kosa ni kuomba msamaha kitu ambacho amekifanya na kukionesha ktk barua yake hiyo... Muhimu ni kuwa "msg sent" haijalishi nn wala nn.....
Yaani ina maana huyo Diamond ni garasa kiasi kwamba hata jina lakehajui kuandika... yaani badala ya kuandika Naseeb, aandike Nseeb? Yaani badala ya kuandika mimi aandike mii...!!!!!
 
Umehakikisha vipi kwamba hajaandika yeye? Mambo ya mtandaoni nisiyoyajua yapi?

Binafsi sijashangaa kwakuwa yaliyoandikwa na format nzima ya barua haina tofauti yoyote na matendo yao ktk maisha binafsi....

Hiyo barua hajaandika domo
 
Hata kidogo hamjaniconvise kama kweli kaandika yey iyo imetengenezwa. Wataz jaman hamtak maendekeo ya mtu kabisa looo
 
kuna maofisa waliotangulia ni kama walikiri jamaa ana ruhusa,according na baadhi ya threads humu,tuchukulie iwe ni kweli hao maofisa wa mwanzoni wamesema ana ruhusa,halafu yeye kakiri,hapo sheria itamhusu diamond pekee?
Suala kwamba aliruhusiwa lilisemwa na Clouds kupitia Adam Mchomvu kwahiyo hata hao walioleta hapa JF walimnukuu Mchomvu... na si kwamba alizungumza katika yale masihara yak, no... alikuwa serious unless kama na yeye alikuwa misinformed.

Kuhusu hiyo barua, mosi hakuna uhakika wowote kwamba imeandikwa na Diamond lakini hata kama yeye ndie ameandika inaonesha wazi kwamba imefanyiwa editing ili mradi tu kumuonesha kwamba he's worth nothing asiyejua hata kuandika barua! Mathalani, wakati Diamond jina lake ni Naseeb, watu wame-edit na kuonesha ameandika Nseeb! There's no way kwa level ya Diamond ambae ame-prove kwamba hachoki kujifunza lakini eti leo hii ashindwa kuandika hata jina lake! Diamond hajiiti Platnum kama barua inavyoonesha lakini anajiita Platnumz. Yaani hata kama ni sakala ndo ashindwe kuandika neno "kichwa" na badala yake aandike kicha? Ashindwe kuandika mimi na badala yake aandike mii !!!!! Hii barua inathibitisha kwamba memgi yanayosemwa kuhusu Diamond ni ya kutunga! Yaani Diamond ambae hata Kiingereza alikuwa hakifahamu vizuri ali-struggle hata akakifahamu lakini leo hii ashindwe kuandika hata jina lake!!!!
 
kuna maofisa waliotangulia ni kama walikiri jamaa ana ruhusa,according na baadhi ya threads humu,tuchukulie iwe ni kweli hao maofisa wa mwanzoni wamesema ana ruhusa,halafu yeye kakiri,hapo sheria itamhusu diamond pekee?

Huwezi kusema kuwa alipewa kibali kabla ya kuona hicho kibali.

Pia huwezi kusema amekiri kwa kuomba radhi kama hujadhibitisha hiyo barua ni ya kweli.

Kwa matokeo hayo, kinachoongelewa hapa ni speculations based on hearsay.
 
Back
Top Bottom